Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh
Umepambana mpk nimekuja πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
STOP βœ‹
Kabla hujaondoka nitajie yule mpuuzi waliyenikalia kikao na babu miga..!!
 
😹😹😹
Nipo hoi nimemaliza kupika, aisee kama kupika ndo kuwa wife material basi mi mniite msimbe tu..!!
Mwenzako Ba tamu ananichambaga kupika siwezi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹 Signal kupeana muhimu tusije kumchamba kumbe mama mchunga wetu wog..!!

Si unajua tusipouza vijora hasira tunamalizia huku..!! 😹😹
Yaan hasira unamalizia popote, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…