๐๐๐Yoyote atakayeingia anga zangu naruka naye..!! Ndiomana namwambia wog atoe id mupya mapemaโฆ!! ๐น๐น๐น
Hupendi ugali?Ugali nimepika wa dona la mahindi na muhogo..!! ๐น๐น
Nimekula nyama peke yake ugali nimeacha..!! ๐น
Kwa huu ulaji kuolewa sidhani mkuu. Labda huyo mubaba kama anapenda wanawake wanaokula kama ๐ท ๐Ugali nimepika wa dona la mahindi na muhogo..!! ๐น๐น
Nimekula nyama peke yake ugali nimeacha..!! ๐น
Shem hapendi uswahili ๐น๐นWatu na mashem zenu Mjinii. ๐๐๐
Nakula kwa hamu tu..!! ๐นHupendi ugali?
Hilo fupa la kuku hujaliona ukaliongelea, wewe binu binu kama breki ya ndege kuona ulaji. Waswahili wivu utawaua.Kwa huu ulaji kuolewa sidhani mkuu. Labda huyo mubaba kama anapenda wanawake wanaokula kama ๐ท ๐
Wewe unajitahidi sana...Ugali nimepika wa dona la mahindi na muhogo..!! ๐น๐น
Nimekula nyama peke yake ugali nimeacha..!! ๐น
Mi nna kinyaa vyakula vya kupika mpishi simuoni vinanitesa..!!Wewe unajitahidi sana...
Wenzio wanaagiza delivery, hawajisumbui
Haya fupa nimeona ila sikutaka kuliongelea kwasababu nimeona kama utajiskia vibaya sana nikisema unakula kama fisi. Halafu sio kwamba nina wivu ni vile unatia huruma๐ฅธHilo fupa la kuku hujaliona ukaliongelea, wewe binu binu kama breki ya ndege kuona ulaji. Waswahili wivu utawaua.
Pole, haya kunya boga kuonyesha umekasirika sana..!! ๐นHaya fupa nimeona ila sikutaka kuliongelea kwasababu nimeona kama utajiskia vibaya sana nikisema unakula kama fisi. Halafu sio kwamba nina wivu ni vile unatia huruma๐ฅธ
Umeshindwa kula ugali huo, kula boga nililokunya utawezaje sasa ๐คฃPole, haya kunya boga kuonyesha umekasirika sana..!! ๐น
Huwezi aminiiWee bhana wog usisahau kunipa id yako mpya kabla hujaitelekeza hii..!! ๐น๐น๐น
Hujakazwa leo? Au umeachika mwenetu? ๐น๐นUmeshindwa kula ugali huo, kula boga nililokunya utawezaje sasa ๐คฃ
Tumekubaliana nipumzikeUnaenda wapi tena ma mchunga? Baki na sisi!! ๐ข๐ข
Wog Wog WogHuwezi aminii
Sina ht huo mpango kabisa
Km kuwa nayo ningeshakuwa nayo muda tu
Ila wala sio issue
Nani tena kakuambia upumzike? Shemeji au?Tumekubaliana nipumzike
Hakuna cha mno
Mpelekee bwanako mkalishane mi situmii, si umeona hata ugali sijagusa..!! ๐นUngeonja kidogo lakini halina tofauti sana na huo ugali. Jaribu hata tonge moja tu kwanza๐