spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Haichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virusI used to love this movie π₯
Nimekuwa naingalia mara nyingi bila kunikinai
Nshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka DarWee mbona umekazania mi tajiri πΉ
Au unanikimbia kimtindo nisifaidi hizo dollar πΉ
Mbele yetu, nyuma yao
Jamaa walijua kupangilia story yaoHaichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virus
Kumbuka Leo tulikuwepo wote Kilingeni msata. Tukapiga na Picha.π
Njoo bonyokwa ulichukue πΉNshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka Dar
Bonyokwa ndo wap, ntumie locationNjoo bonyokwa ulichukue πΉ
Tajiri hata bonyokwa huijui dah! πΉBonyokwa ndo wap, ntumie location
Fr bonyokwa napaskiaga tu si unajua mi mgeni wa jiji πTajiri hata bonyokwa huijui dah! πΉ
Umezoea masaki na o-bay
Huku tunakaa watoto wa mbwa matajiri hamuwezi kupajua..!! πΉFr bonyokwa napaskiaga tu si unajua mi mgeni wa jiji π
MkuuNtakupa mrejrsho
Movie yangu pendwa ya muda woteView attachment 3677631
Hapo zamani π€
Ya kwangu iligoma kabisaMkuu
Kama Benz yako inaishi uko yangu isifike kwann we tag location πHuku tunakaa watoto wa mbwa matajiri hamuwezi kupajua..!! πΉ
Ukija na hiyo BMW yako jiandae na service, kuna makorongo na mishimo ya kufa mtu..!
Iligoma kivip mkuu πYa kwangu iligoma kabisa
Location yenyewe inagoma, Kuna vibaka huku wanakaba na hiyo BMW yako utaikuta wamechomoa taa na tairi zimefunguliwa..!! πΉπΉKama Benz yako inaishi uko yangu isifike kwann we tag location π
Watu wa Dar wote bibi yenu ni mmoja hamtaki appointments kabisa na sisi washamba wa kuja πππ½ββοΈππ½βLocation yenyewe inagoma, Kuna vibaka huku wanakaba na hiyo BMW yako utaikuta wamechomoa taa na tairi zimefunguliwa..!! πΉπΉ
πΉπΉ Hatutaki mkabwe muanze kutupa lawama..!!Watu wa Dar wote bibi yenu ni mmoja hamtaki appointments kabisa na sisi washamba wa kuja πππ½ββοΈππ½β