spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Nmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hatakiMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉ
Ahhhaa..!! Ma mchu kumtetea kazi, kesi yake ngumu..!! πΉπΉNmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hataki
Mamchu naye apewe
Msimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Baba yake Mwakasege πππMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉ
Tajiriiii kuna cross examination hatujafanya em kwanza rudi puliiiizzzz πΉπΉPm yangu hakuna message ata moja π€£π€£ achana nae uyo anazua taharuki
Mi nikajua utani bana πΉπΉMsimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Mwakasege πππ
Injili ni lazima ihubiriwe kwa viumbe vyote! π
Ila leodada kisu πππmshangazi kwenye mihangaiko ya wikiend
miaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wanguIla leodada kisu πππ
Pisi ya baba stars mwenyeweee..!!
Ulienda kumsapoti miaka 30 ya bongo fleva lakini?
Sema hapo ulipoweka emoji then chini upo naked unaonekana wote sis πΉ
Sijakuona, itabidi nianze kula carrot sis πΉmiaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wangu
carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable liveSijakuona, itabidi nianze kula carrot sis πΉ
Usinambie sis π₯π₯carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable live
Hansamu boii, πππ
ππmremboosebene limekolea
πππ Beautiful Onyinye..!!serene limekolea
πππKuna jamaa alikuwa na pigo kama zako. Kila siku kuposti mabulungutu ya pesa na ndinga kali kama Audi, BMWs. Tajiri wa Madini na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Morogoro. Alileta madhara makubwa sana hapa Selfika; na kwingineko. Actually nilifikiri labda ni yeye karudi na fyekero π
Don't take it too serious too. After all, it is just chit chat! πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
acha kunijazaπππ Beautiful Onyinye..!!
Baba stars anajua kupoint aiseee..!!
Chuma kimesimama kama Bentley la mwaka wa mbeleee..!!
ππππBabu miga sema kazichapa kweli na anakuja na risiti za picha za aliowamega humu..!! πΉπΉ
Yupo humu sema ana id nyingine kumjua mpaka uwe na D mbili..!!
πππ wambeaa woyeeee!!Huyo anayemsema ni kweli alikua hivyo na kazichapa huko Morena na pics kazisambaza pm kwa watu..!! πΉπΉ
Mimi nilikua na mzigo wa pics za members aliopita nao. Wengine walikuwa wanamtumia wenyewe pic za nudes zao..!!
Tena kuna connection mpya ya mudada machachari humu selfika imevuja juzi kati hapo..!!
Wambea tunasubiri ajichanganye tumpe risiti zakeβ¦!! πΉπΉ
we coca weweππmremboo
Umenoga sanaa.
ππππJF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.
Nishapigwa ban sana kwa kuwachamba hao wanaorusha pics zao za utupu kwa wanaume wa JF..
Wengi wao sijui wako desparate au ndo changamoto ya afya ya akili, au sijui ushamba na njaa njaa za kijinga..!! Hapo nashindwa kuelewa..!!
Kitendo cha mwanamke kutuma utupu wako pm ni kiwango cha mwisho cha kufikiri..!!
Wanaume wenyewe hawana utu wala kaba. Wanachojali kuwavimbia wenzao kwamba wamekuvua nguo.
Ni huzuni kwakweli.
Hata kama ni njaa zao zimezidi..!!