ππππTajiri wa moto πΉπΉ
Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!
Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Na mimi nipe basi tulewe wote sis..!!nimelewa hata sioni kesho
acha kunijaza
ππππMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉ
Woyeeeeeee πΉπΉπππ wambeaa woyeeee!!
Rhabhekhaaaa!!! Mzuri wewe, ππwe coca wewe
Nilale wapi, kuswampaa tu πππWoyeeeeeee πΉπΉ
Unalala sana uduguu
πΉπΉπΉ Kwa tajiri huko kumechafuka, wenzetu wapo kupanga foleni ya kuokota..!!Nilale wapi, kuswampaa tu πππ
nielekeze niende kapuku mimiπΉπΉπΉ Kwa tajiri huko kumechafuka, wenzetu wapo kupanga foleni ya kuokota..!!
Tumebaki mi na wewe uduguu πΉ
Utaweza mikimiki ya huko sis πΉπΉnielekeze niende kapuku mimi
ShekhelView attachment 3677882
Friday...
Unashusha nyavu mwenetu..!! πΉView attachment 3677882
Friday...
Una maana ipi?Unashusha nyavu mwenetu..!! πΉ
Ndio mkuu...Shekhel
Wanakuja usijali πΉπΉUna maana ipi?
Yaani huto tulaki tuwili kweli ni twa kutishia mtu?Wanakuja usijali πΉπΉ
πΉπΉπΉ Mzigo wa kubet kumbe..!!Yaani huto tulaki tuwili kweli ni twa kutishia mtu?
Hata Hennessy moja haitoshi...?
Baada ya kubeti nikashinda nimeona si mbaya na mimi ni enjoy...
ili mradi niokoteUtaweza mikimiki ya huko sis πΉπΉ
Haina shida...πΉπΉπΉ Mzigo wa kubet kumbe..!!
Tugawane utajiri huo mia
Mtafute MFALME WETUili mradi niokote
Location ya nini siku hizi utekaji mwingi..!!Haina shida...
Nakutumia location...