Unajitolea kumwaga vocha kama boss mjep ๐นNipe namba sasa..
Una kibarua!Kuna ukweli hapa
Nani kakwambia hapa ni watu wa paris tu weka hata kama uko tandahimba huko!Kama nikienda paris namimi nitaweka hapa niwe natamba tu
๐น๐น๐น Tayana risiti imetumwa hapa kesi yako ngumu..!!Duh
Hapana jmn
Naomba unisaidie, siko tayari kupoteza nilichonacho!๐ค
We unajua ila unazingua katibu!
Najua tunataniana ila sio wote wanaoelewa kuwa huu ni utani watu wana wivu kipenzi ...wanapita kusoma humu...!
Siko tayari kuachika kipenzi, tafadhali sitaki ht kufikiria kwa mbali yaani!
๐ค๐
๐น๐น๐น Tunaburudika tu!Haha mchuchu
Mda wote umejiandaa na mabomu*
Wanashtua umaskini..!!Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
๐๐๐๐Mimi ndio mfanya usafi, huoni muda wote niko active humu, subiri nifukuzwe๐
Mama Mio ๐
AI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!Kuna ukweli hapa
Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifaAI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!
Kuhusu pesa anazo sema hataki watu wamjueโฆ salary yake ina koma tatu..!!
๐น๐น๐น Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifa
Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????Msiwe na roho za wivu hata nyie ruksa kupost mikokoteni na punda ๐น๐น
Unataka kushindana mwenzetu unalala wapi?
Unataka kushindana mwilini una rangi mbili ๐น๐น๐น
Unataka kushindana na shepu lako la mchongo..!! ๐น๐น
Unataka kushindana mwenzetu single maza wa watoto watatu na kila mtoto na babaake..!! ๐น๐น
Ila hii taarabu inachekesha sana..!! ๐น
Hivi hua wanawaona machizi wa JF walivyo au mi ndo sielewiiiโฆ!! ๐น
Nimeiiba hata sio yangu!!Mama Mio ๐
Shape ya mwaka wa mbele haina mbambamba ๐ฅ๐ฅ
Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa๐น๐น๐น Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Mi nawasapoti shida wanawake wengine wana roho za wivu, chuki na roho mbaya..!!Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????
Wanawake kwa wanawake kudhalilishana Haipendezi mrembo!
Mi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!๐น๐น๐น Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Weee thubutuu, ni wewe huyo ๐Nimeiiba hata sio yangu!!
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.Wanashtua umaskini..!!
Zako ziko wapi utupostie tajiriiiiiโฆ ๐น
Upi tena?Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa