Selfika na JF: Snap it. Show it

Upi tena?

Huyo boss wako ana pesa mi sitaki mwanaume namuomba pesa ya kuongezea mtaji wangu wa vijora halafu yeye anajizungusha..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yaaah ipo maana najua akitucheleweshea mshahara basi malalamiko yangu nayaeleta kwako tu
 
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!

Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!

Haya weka mzigo huo tuone
 
Mi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!

Anyways !Vipi wazo langu la women supporting women hapo juu unasemaje????
Unazo ๐Ÿ˜น

Women supporting ipo vizuri tuanze na mimi kwanza mnichangie mtaji wa vijora..!! ๐Ÿ˜น

Mimi nakubali shida ipo kwa wake wenza wa humu wataweza kupendana? Hapo ndo swali lilipo..!! ๐Ÿ˜น
 
Yaaah ipo maana najua akitucheleweshea mshahara basi malalamiko yangu nayaeleta kwako tu
Niunganishe naye ๐Ÿ˜น
Naona makuwadi mko wengi sasa hivi..!

Hapa nikikosa mume basi itakua mi ndo nimezingua..!! ๐Ÿ˜น
 
Niunganishe naye ๐Ÿ˜น
Naona makuwadi mko wengi sasa hivi..!

Hapa nikikosa mume basi itakua mi ndo nimezingua..!! ๐Ÿ˜น
Kabisa yake make anapenda makebo kwako naona ndo nyumbani haswaaa
 
Unazo ๐Ÿ˜น

Women supporting ipo vizuri tuanze na mimi kwanza mnichangie mtaji wa vijora..!! ๐Ÿ˜น

Mimi nakubali shida ipo kwa wake wenza wa humu wataweza kupendana? Hapo ndo swali lilipo..!! ๐Ÿ˜น
Achana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .

Hata hao walioshea bilashaka kuna wanaowachochea nakuwajaza sumu.
Inashangaza sana kuona ke akishadadia ke mwenzie kudhalilishwa inashangaza sana

Hivi Ushawahi Shea bwana humu??
 
Mahondaw huwa nasikia tu sifa zako kuwa una shepu ya kufa mtu. Halafu nafika nakuta patupu japo huko juu uliweka. Unaweza kuirudia uliyoiweka huko juu? Just once mamake? ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Achana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .

Hata hao walioshea bilashaka kuna wanaowachochea nakuwajaza sumu.
Inashangaza sana kuona ke akishadadia ke mwenzie kudhalilishwa inashangaza sana

Hivi Ushawahi Shea bwana humu??
Wanaochochea ni mabwana zao..!!

Mi naona tuanze na wanawake waache kuwavulia nguo wanaume ambao wanajua fika wana wapenzi wao..!! Wawanyime kei, japo najua kwa akili za wanawake wa humu hawawezi..!!

Kuhusu ugomvi chanzo ni wao wenyewe baada ya kushea hizo community mboro ndo wanaanzisha ugomvi na vijembe..!! Hili wewe shahidi.

Hakuna member anayeibuka akaanza kusema fulani anatembea na fulani..!!

Ni hao hao wanawake wanaanza kuyazua, hawataki kuto mbwer wakakaa kimya ni kutambiana tu..!!

Kuhusu kushea, hata bwana mwenyewe SINA sasa wa kushea naye namtoa wapi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Em kwanza nipate huyo bwana afu mke mwenza ajitokeze aone mbungi langu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!

Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!

Haya weka mzigo huo tuone
Hela sita post aisee
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna nini kwani humu ndani?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Si kweli kwamba walioshea ndo wanaogombana tu humu kuna ambao hawajashea na wanagombana vile vile hapo shida ninini?????

Hapo kwenye kumtunuku mtu mi mwenyewe nkimuelewa mtu wako akaingia 18 zangu nampea vizuri tu ye mwenyewe ni mtu mzima anajua anachofanyaโ˜บโ˜บโ˜บโ˜บ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ