Selfika na JF: Snap it. Show it

Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.

Mimi naishi maisha yangu najitegemea kuanzia kuvaa kula na kulala tangu niko 17 years till date nmeishi maisha yote mpaka ambayo huyajui simwogopi mtu yeyote zaidi ya serikali kwaiyo napost nachojisikia popote as long as it’s legal bila kufikiria mtu mwingine yeyote atanichukuliaje maana hana cha kunifanya na haniongezei wala kunipunguzia chochote kwenye maisha yangu.

Nyie ndo wale mkiona mtu anapush agenda yake mtandaoni mnafuata mkumbo mfano ndoa ni ubatili au usioe single maza au oa bikra tu and the likes, bro washa akili and stay on your lane

Nmeamua kuandika ili next time nikipost muache kujiuliza maswali yasio na kichwa wala miguu mnione tu kama limbukeni flani ivi wa maisha asie na ramani yeyote maana pesa zenyewe sina izo picha ndo zinanifariji sasa wewe unaumia nini au unafikiri ntakuibia makoloni yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”

kwani kuna tofauti gani mtu akipost picha ya hela na picha ya kuku mtu mwenyewe humjui unaeza kuta ni kapuku wa kutupwa, na hata akipost we zinakuumiza nini? Mbona picha zingine zinazopostiwa humu huulizi kwann zinapostiwa ********.!!

always stay positive minded uone maisha yanavokua rahisi both mtandaoni na kwenye real life. Hata siku moja usiruhusu maisha ya mtandaoni yakuchanganye.
 
Uwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..

Good afternoon!!
 
Uwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..

Good afternoon!!
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni tena nisiowafahamu.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia

Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.
 
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎
 
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😑😑😑😑
 
Mkuu mambo ya wanawake achana nayo. Hawajawahi kushaurika kwenye iyo sekta
 
Dahh inaumiza sana mkuu! Poleni kwa wahanga wanaotuma picha za uke uko piemuni, hope watajifunza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…