Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎
Tena aposti mabulungutu ya pesa akiwa kwenye Rolls Royce ili kupandisha presha za wavulana πŸ˜‚
 
Hao sijawaona unaweza ukawataja tuwachambue..!! 😹😹

Nyie mtunikiane lakini msiyalete sasa huku..!!

Sisi wengine kazi yetu kuchachua, hivyo tunaruka na habari mnazoleta..!! 😹
 
Nikijibu tena hapa mtaniita mchawi! Ila sisi ndio wale pangu pakavu tia mchuzi🀣
nani asiekujua wewe tajiri wa wakinga πŸ˜‚πŸ˜‚

Nje ya mada, humu JF kuna vituko sana ukiwa mgeni utatamani ufute ID upotee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸ½β€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna nini kwani humu ndani?
Bana kama kawaida roho chafu zinaumia watu kupost pesa zao na ndinga humu..!! 😹😹

Wanataka wote wapauke kama yeye..!!

Famchezo wewe kila unachopost kinachekesha lazima upagawe..!!

Na wewe uwe unasifia ukiomba pic, 😹😹
Watu wanajitutumua kukupa selfie afu unachuna. Ndo kumaanisha nini sasa??

Kwamba pisi mbovu au? 😹😹😹
 
😹😹😹 Uzi wa picha huu hata mbwa akikatiza mbele yako wewe mpost tu..!!

Mwenye wivu akanye boga
 
nani asiekujua wewe tajiri wa wakinga πŸ˜‚πŸ˜‚

Nje ya mada, humu JF kuna vituko sana ukiwa mgeni utatamani ufute ID upotee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸ½β€
Mi msukuma sinunajua tulivyo washamba weusi tii!😎

Hahaha mimi sikujua kwakweli, kidogo niache ndala 😁ila nimeanza kuvizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…