MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Sawa baba.Ni sawa, ila mm sifagilii uongo hata kidogo
Naona ni muda tena kufanya zindiko lingine uzi utulie...Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sanaπππ€£
Weee si ndo mambo zako hizi sometimes!!! , kiasi kwamba mtu akisoma uzi hawezi amini kama aliyeanzisha ni Mshana.Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sanaπππ€£
Wewe mzee sitaki movie ninayoπNiletee Kiko basi mjukuu nikuwekee hiyo movie π€ππ
Mwenyewe niko zangu bar saizi sitaki kuharibiwa ulevi!πNdo mana mimi nashinda ziwani
Hivi hizi picha unapigajeπ€
Ujinga uendelee tu maana kuna wakati unatusaidia kupunguza wengeWeee si ndo mambo zako hizi sometimes!!! Tena zakichonganishi kabisa, kiasi kwamba mtu akisoma uzi hawezi amini kama aliyeanzisha ni Mshana.
Kama mwenye uzi wake unashaurije?????
Kweli sina bahati babu yenu, nina arosto kweli ya Kiko ujue π€ͺWewe mzee sitaki movie ninayoπ
Acha tu mkuu! Inahitaji hekima kubwa maana ni aibu hata kumuelezea mtu!Kuna washkaji wengi sana humu siwaoni kabisa kumbe sababu ni iziizi za ****** akina mwalimu Antonnia To yeye Kalpana na wengine kibao, Tayana nae ndo ivo kaaga aisee.
Watu roho zao za husda na usengenyaji wanahamishia mpaka mtandaoni. Pathetic.!!
Wewe ndio walewale mnaleta l hekaheka humu hebu utulieπKweli sina bahati babu yenu, nina arosto kweli ya Kiko ujue π€ͺ
Kuna vijana wapo Kwa hiyo KAZI,Hivi hizi picha unapigajeπ€
Kuweni na huruma na Wazee π€Wewe ndio walewale mnaleta l hekaheka humu hebu utulieπ
Aseeeeeeehh!!Ujinga uendelee tu maana kuna wakati unatusaidia kupunguza wenge
Summons ushawafikishia? πΉπππ
πππSummons ushawafikishia? πΉ
Waje wenyewe kabla sijatuma afande fake p kuja kuwakamata πΉπΉ
πΉπΉπΉ humu ndani vituko haviishii..!!πππ
Kanipiga nachumpa ziwaniHivi hizi picha unapigajeπ€