Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น humu ndani vituko haviishii..!!

Tupotee kwenye huu uzi uduguu kama kipindi kileโ€ฆ!! Tuache watu na biashara zao.
Selfika ni ya kiwaki kwa sasa, ndio maana siwagi active humu, hadi kuwe na jambo ndio naingia.
Najionea shida, maana shengesha hamna, kumebaki micharuo tu.
Sasa mie micharuo nina chimbo langu sio humu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nisaidieni umbea na nyie mbona wachoyo? Babu miga ndio nani? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

Nimemaliza now kusoma comments .
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ km hadi unauliza ndio nani, basi huwezi mjua hata ukielekezwa.
Fanya usimjue tu.
 
Nisaidieni umbea na nyie mbona wachoyo? Babu miga ndio nani? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

Nimemaliza now kusoma comments .
Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ana pigo kama PAKA yu no PAKA weyee? ๐Ÿ˜น

Huyo anaomba appointment kwa pesa yoyote na ukikutana naye anakutwanga EKOTITE safiii ili kutunza kumbukumbu za hapa JF..!! ๐Ÿ˜น

Maeneo yake pendwa Morena hotel Msamvu ( Ni muda sasa Morena wamlipe kawatangazia soko) hapo pics za walimbwende wengi wa JF zipo hiyo hotelโ€ฆ

Ni hotel ya kifahari ya kupoa babu migambuti na bebez zake kutoka jiji la JF kitongoji cha selfika..!!

Ana mipira mikali inayoshawishi warembo kujishebeduaโ€ฆ ana Bentley, Audi, Rangeeeeeeee, BMW na Benz kama zote..!!

Sasa hivi ana maparody mbalimbali kamaโ€ฆโ€ฆ. ๐Ÿ˜น siwasanui nitakosa risiti za kucahamgamshia kijiwe..!!
 
Selfika ni ya kiwaki kwa sasa, ndio maana siwagi active humu, hadi kuwe na jambo ndio naingia.
Najionea shida, maana shengesha hamna, kumebaki micharuo tu.
Sasa mie micharuo nina chimbo langu sio humu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nirudi sasa jukwaa la siasa nikagombane na machawa..!! ๐Ÿ˜น

Uduguu em niage kwa pic kali nione rangi ya dhahabu yenye umanga manga..!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila wewe, kwa kweli Morena hotel wamlipe tu.
Kawafanyia marketing sana.
 
Jamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!

NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupiโ€ฆ lakini za kishetani shetani..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Leteni maujuzi sasa..!!
 
Wee kuna kitu unatafuta, na utakipata nakuambia.
Wee haya, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ