Hiyo kazi nipewe mimi naiwezaaaaJamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! ๐น๐น
Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!
NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupiโฆ lakini za kishetani shetani..!! ๐น๐น
Leteni maujuzi sasa..!!
๐น๐น๐นWee kuna kitu unatafuta, na utakipata nakuambia.
Wee haya, ๐๐๐๐
Sitaki mtu anipige ๐นHiyo kazi nipewe mimi naiwezaaaa
Haya ndo mambo sasa๐Kazi na utu
Mlevi kwenye moja na mbili ๐ ๐Haya ndo mambo sasa๐
Henessy pori๐Mchumba umekunywa nini
Tulia steve huyu ndo kipenzi no uno๐Mlevi kwenye moja na mbili ๐ ๐
Ukipata mda jipe raha ๐๐ฅTulia steve huyu ndo kipenzi no uno๐
Kabisaa babaake!Ukipata mda jipe raha ๐๐ฅ
Ila akumbuke RAHA JIPE MWENYEWE by linah sangaUkipata mda jipe raha ๐๐ฅ
Mate bana ๐๐๐๐Jamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! ๐น๐น
Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!
NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupiโฆ lakini za kishetani shetani..!! ๐น๐น
Leteni maujuzi sasa..!!
Hiyo code hapo juu ๐ญ nimetoka kapa walahi.Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! ๐น๐น
Ana pigo kama PAKA yu no PAKA weyee? ๐น
Ilaaaaaaaaaa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyo anaomba appointment kwa pesa yoyote na ukikutana naye anakutwanga EKOTITE safiii ili kutunza kumbukumbu za hapa JF..!! ๐น
Maeneo yake pendwa Morena hotel Msamvu ( Ni muda sasa Morena wamlipe kawatangazia soko) hapo pics za walimbwende wengi wa JF zipo hiyo hotelโฆ
Ni hotel ya kifahari ya kupoa babu migambuti na bebez zake kutoka jiji la JF kitongoji cha selfika..!!
Ana mipira mikali inayoshawishi warembo kujishebeduaโฆ ana Bentley, Audi, Rangeeeeeeee, BMW na Benz kama zote..!!
Sasa hivi ana maparody mbalimbali kamaโฆโฆ. ๐น siwasanui nitakosa risiti za kucahamgamshia kijiwe..!!
Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!Mate bana ๐๐๐๐
Kula kinjunga then piga mirror selfie, Mi mara nyingi napiga picha kwenye kioo sababu sinaga mtu wa kunipiga picha, ila nikienda labda sehemu ya kula namngโangโania mhudumu anipige.
Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!
Yani niweke pose la kiuno kipo upande, traco limebinuka binu na shingo inabembea kwa nyuma huku u- hair unapepeeya..!!
Lips zimekolea lip gloss na jicho kungu manga..!!
Nataka pic flani very romantic ๐น
Em mwaga maujuzi mengine mate.. jambo langu lifanikiwe..!!
Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! ๐นHiyo code hapo juu ๐ญ nimetoka kapa walahi.
Ilaaaaaaaaaa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ana balaaa huyo, ni mbabu au kijana? Na ye dollar za kuhonga warembo anapata wapi katika huu uchumi wa kati wa mama samia.
Coca mjanja kwahiyo akahepa ๐คฃ Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! ๐น
Ana migodi pesa kwake sio za kubeep ni kupiga..!!
Kuna kipindi alimtafutia kazi coca akamwambia wakutane wapumzike rotana..! ๐น๐น
Coca em njoo umpe ubuyu mahi wetu.!.!
Nikikumbuka nacheka sana ๐น๐น
Ngoja coca aje akuchekeshe vituko vya babu miga..!!
๐น๐น๐น Haki leo sijui nimewaza nini?Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.
Umepatwa na nini? ๐๐๐ Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.