binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Alisema ana list ya watu wa5 ngoja akupe waty wa veggies ukome 🤣😹😹😹 Haki leo sijui nimewaza nini?
Bana toa idea hivyo hivyo jitahidi mate..
Huyo Kantry tapeli tu nimempa kazi ya kunitafutia tajiriii humu anashangaa shangaa… kazi imemshinda..!! 😹
Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa 😹😹😹Coca mjanja kwahiyo akahepa 🤣 Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.
Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! 🙆🏻♀️
Akili mtu wangu! 😀😀😀Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa 😹😹😹
Coca si mjanja born hiya hiya 😹
Hapo kwenye migodi sina uhakika lakini kwa maelezo yake..!!
Mi alinitaka nikamkataa akanichamba 😹😹
Babu miga anafurahisha kama sio babu yako..!!
Ila wewe mtoto maini matupu🎵🎼Pawaa pawaaa naishiwa pawaaa
Penzi lako mzani mzito naishiwa pawa🎵🎼
Mrare unono wapendwa
Namfurusha akija na list yake ya hovyo 😹😹Alisema ana list ya watu wa5 ngoja akupe waty wa veggies ukome 🤣
Ninayo ya rangi sweetheart...
Tena naomba nitumie hio ya rangi love wavopiga simu chini picha hata hazionekani!Ninayo ya rangi sweetheart...
Babu alikua anamuwinda coca amfotoe alete risiti hapa..!! Coca akashtuka chap 😹😹😹Akili mtu wangu! 😀😀😀
Ukatuchambe vizuri habari na hoja mchanganyiko huko!Ila wewe mtoto maini matupu
Mama Mio OG 😍
Nipo rada , na nip Canada now kipenziUkatuchambe vizuri habari na hoja mchanganyiko huko!
Nataka kurrarra naomba bless usiku wangu bwashee
Ba mnyogode ungeanza kutubless kabla hujapiga ndizi hicho kikongwe chako😂Tupo hapa postini picha zenu za huko mbulu , tunawafuatilia pumbavu sana
Tunyooshe kwa picha😂Nipo rada , na nip Canada now kipenzi
Hakuna mwenye komwe humu kila mtu anawaka😁Nipo rada 😃 wajinga wajinga watakakaopost makomwe Yao humu nawachana live pumbavu