Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu anza wewe wa maji kwa kwanza labda utani inspaya πŸ˜‚
Mi simu yenye pic ipo kwa fundi..!! 😹

Wewe maji ya kwanza tena yale ya moto kabisaaa..!!

Twendee kazi somo na kungwi wetu wa JF

Namba moja unashika wewe

Namba mbili unashika wewe

Namba tatu unashika wewe

Dj mlete kungwi mwenye Tbs zake JF anajiita binti wa zamani lakini mtoto bado mbichii kama ni mchicha basi ni ule uliochumwa alfajiriiii jogoo linawikaaaa..!!

Tambaaa binti wa zamani, uwanja ni wako..! 😹
 
Wacha weeeh πŸ˜‚ tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†



Ngoja niite visu humu waje kutupa mambo Mallerina kijukuu cha mtume, njoo uwaonyeshe uumbaji πŸ˜‚
 
Nakukaribisha ujiachiee..!! 😹😹

Wewe mbona mzuri bana unajishtukia..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguu wee ni chizii au?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…