Selfika na JF: Snap it. Show it

Mamaa cocastic tamu ya boss kubwa JF King wa mivoucher..!!

Pisi kareee ya muda woteee

Unawaka hata kwenye giza la usiku wa manane..!!

Advocate wa vidampa wote wa mjiniiii

Mtoto wa kingoni na kimatengo..!!
Huna kazi mbovuuu kwenye uwanja wa fundi seremala..!!

Dada engineer anayechora mpaka maisha ya wajuaji..!!

Tambaaa Mrs Mjep, tambaaa mke wa bossss

Uwanja ni wako.. JIACHIEEEE

WAONYESHE WAJA UZURI UMETUNUKIWA HAUJAUNUNUA KWA SURGERY

DJ nileteee Engineer wa UDSM 😹
 
Acha zako kaka, acha kuchafua mtu kwamba anakula exhaust...

Pengine alitaka kuhakikisha kama we kweli Ke...

Halafu kama mtu ameamua kutembea na wanawake humu si kosa kisheria...

Hata kama akiamua kutembea na jf yote, hakuna tatizo...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe utapagawa sana na mie.
Bado huja heal mwanetu?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka mbona unachafua wenzako hivyo...?

Pengine alijua we ni pisi kali...
Akakutana na njemba ina ndevu hadi mapele kwenye kidevu hata kama ni mimi lazima nikimbie tu...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majiraniiiiii hukuuuu!!!
 
Uduguu ntakubondaaa sahivii, haya maelezo yote ya nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu uchochezii sasa. Lol.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee naona kuna kitu unataka, ila unajiogopa, em sema bhana acha kujistukia.
Kaka unazingua...
Kila nikitafakari umepoteza marinda halafu we ni msela huwa natafakari sana...
Nachotaka achana na hio tabia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…