Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Mjep anakojolea pazuri kmmk! πππMamaa cocastic tamu ya boss kubwa JF King wa mivoucher..!!
Pisi kareee ya muda woteee
Unawaka hata kwenye giza la usiku wa manane..!!
Advocate wa vidampa wote wa mjiniiii
Mtoto wa kingoni na kimatengo..!!
Huna kazi mbovuuu kwenye uwanja wa fundi seremala..!!
Dada engineer anayechora mpaka maisha ya wajuaji..!!
Tambaaa Mrs Mjep, tambaaa mke wa bossss
Uwanja ni wako.. JIACHIEEEE
WAONYESHE WAJA UZURI UMETUNUKIWA HAUJAUNUNUA KWA SURGERY
DJ nileteee Engineer wa UDSM πΉ
Kwani kaka we unaonaje? Huyo ni mwanaume?Narudia tena huyo Ni Mrembo??
Msela ni mie, marinda ni yangu, nimepoteza mie. Wee unatafakari nini? Unataka niache wee km nani?Kaka unazingua...
Kila nikitafakari umepoteza marinda halafu we ni msela huwa natafakari sana...
Nachotaka achana na hio tabia...
Narudia tena ya 3, huyu ni mrembo??Kwani kaka we unaonaje? Huyo ni mwanaume?
Hebu niambie we unavutiwa na mrembo wa aina ipi?
Muangalie vizuri.. au unataka mwenye kitambi?
Ni Mrembo ndio...Narudia tena ya 3, huyu ni mrembo??
Huwezi kuona mtu anajiua kwa sumu halafu useme ni yeye kaamua acha afe, inabidi kumsaidia...Msela ni mie, marinda ni yangu, nimepoteza mie. Wee unatafakari nini? Unataka niache wee km nani?
Naamini hujanisahau, ila unataka niku boost urudi tena mjini JF, πππ
Acha maneno mengi bhana, nimekupa task hapo. Naamini hutaniagusha askari wangu, ama nene?Huwezi kuona mtu anajiua kwa sumu halafu useme ni yeye kaamua acha afe, inabidi kumsaidia...
Nitolee us3ng3...Nikupe task, tafuta mkaka handsome boi, awe tall, dark skin, slim, na abarikiwe uboo, asizidi miaka 30, niletee, yako ya udalali nitakupa, na yeye huyo atapewa posho yake nono.
Fanya hivyo basi, utakua umecheza km Pele.
Vipi kazi niliyokupa umeshindwa? Au huiwezi?Nitolee us3ng3...
Angalia pisi nyingine hio hapo kama ya kwanza hukuielewa...
Kaka ama utakuwa unapenda wa namna hii...Vipi kazi niliyokupa umeshindwa? Au huiwezi?
Task yangu nishakupa, if unataka fanya, km huwezi basi tufunge hesabu.Kaka ama utakuwa unapenda wa namna hii...
Task yangu nishakupa, if unataka fanya, km huwezi basi tufunge hesabu.
J2 njema mkuu. βοΈ
πΉπΉπΉ Tambaa mama MjepUduguu ntakubondaaa sahivii, haya maelezo yote ya nini? πππ
Huu uchochezii sasa. Lol.
ππππΉπΉπΉ Tambaa mama Mjep
πππMjep kajipata, hapo anamwaga mpaka ubongo..!! πΉπΉ
Kwa raha zako mama Mjep πΉπΉπππ
Weekend hii unakuna kitambi cha boss huku unamchezea tundevu..!! Awww πΉπΉHa
πππ