Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguu, umeamua nawee uweke kibumbu hapa jamvini. Hujataka kuweka piemuni iwe deal, unamwaga hapa hapa hutaki masjala wala nini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Wasije kusema oohh alinitumia pm..!!

Nimewawekea mwenyewe wajioneee..!! 😹
 
Wee subiri wenye Mjep wao wakushukie km mwewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani mjep ana mke tofauti na wewe? 😹

Mi nakujua wewe na bi mdogo yule aliyenunuliwa vyombo Mlimani city..

Kama kaongeza mwingine atuhabarishe shemeji..!! 😹😹
 
Sitaki kuona

Huu uzi lazima ufutwe 😎
😹😹😹

Uzi haufutwi wewe kaguswa demu wako kidogo umeanza milio.. tulia dawa iwaingie..!!

Kwanza hizo pic ziko wapi na mi mnitumie nione kama uzi unahitaji kufutwa? 😹😹
 
Kwani mjep ana mke tofauti na wewe? 😹

Mi nakujua wewe na bi mdogo yule aliyenunuliwa vyombo Mlimani city..

Kama kaongeza mwingine atuhabarishe shemeji..!! 😹😹
Udugu mke mwenza ameacha ndalaa, ila JF bhana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹

Uzi haufutwi wewe kaguswa demu wako kidogo umeanza milio.. tulia dawa iwaingie..!!

Kwanza hizo pic ziko wapi na mi mnitumie nione kama uzi unahitaji kufutwa? 😹😹
Demu wangu yupi tena huyo, kumbe nna mwanamke na sijui πŸ˜‚
 
Duh
Umepambana mpk nimekuja πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
Please usiondoke Tayana, dado tunakuhitaji sana humuπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…