Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja nimalizie juu mpaka chini nije na pamba kamili ya kutangaza biashara kwa warembo🤩🔥
Nishaona humu warembo wana pesa safiiiiiii🥳🥳🥳🥳🥳🥳
hapo utakua umeuaaa,, yeah warembo wapo wengi na wenye pesa lazima wakuungishe, mi pia nitatia mkono wangu ila nitaomb discount 🤭
 
😅😅 mtaji hauwezi kuisha bwana, basi mi nitamleta nikuachie akiwa na nguo moja alf nimuijie baada ya siku 3 tuone kama utakua hauja mshonea bure🤣🤣
Ntamshonea blanketi iwe mwendo wa kumfunika tu🥳🥳🥳🥳😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…