Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnitoe ushamba babu yenu, hii ni Nini? Na

Inavaliwa sehemu gani ya mwili?

Kweli kuishi kwingi kuona mengi πŸ€—
Kuuliza ni bure usihofu
Hio waits belt crochet inavaliwa kwenye suruali kama pambo au unawezza kutupia kwenye maxi skirtπŸ”₯au maxi dressss
 
Sasa ganna naye wa kumsikiliza?

Yeye na min wana maumivu ya kukataliwa na wadada.!.!

Huyo min ndo mzee mpuuzi wa mwisho..!!

Ashukuru ki uzi chake kimefutwa nilitaka nimkaange akaangike..!! 😹
 
😹😹😹😹😹😹😹😹

No comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…