Hujatukanwa umeambiwa ukweli, acha kurusha vijembe kwa wadada wa selfika..!!Nimesikia nimetukanwa , sijui kwa nini mods walifuta😅
Kama huyo min anatumia wadada pic pm anawadanganya ni yeye wakati sio..!! 😹😹Watakuja tuu soon...wala usihofu sio kwamba wao hawana risiti za wanaume humu za kuwapiga za uso..na sura zao kama mbuzi wa mnadani...
Hahaha sijaposti kwa lengo la mtu ,wala sina shida na yeyote humu labda ni wewe tu umeelewa vibya , kama mods hawafuti nitaposti ninachoona ni sawa tuHujatukanwa umeambiwa ukweli, acha kurusha vijembe kwa wadada wa selfika..!!
Kama kuna mdada kakutaa au umeshare naye bwana funguka..!!
Una mvi lakini akili kisoda..
Hivi kama mdada sijui kaji-edit, mara Ai au snap wewe unaumia wapi??
Wewe mbona unapost pic sio zako wenzio wamekukalia kimya, kuna siku walikusema?
Unajitia diaspora na uko Malinyi unalima mpunga mbona watu wametulia?
Na wao wakifunguka mambo yako utakaa humu?
Mpunga gunia sasa hivi umefika shingapi hapo Malinyi? 😹😹😹Kama kawa , andaa kitambi cha kufukia ubwabwa tu😅
Wataje wadada nilio watongoza humu na nina ruhusu kabisa waweke ushahidi wala Moderator msiwahukumu kwa chochote nipo hapa nasubiriSasa ganna naye wa kumsikiliza?
Yeye na min wana maumivu ya kukataliwa na wadada.!.!
Huyo min ndo mzee mpuuzi wa mwisho..!!
Ashukuru ki uzi chake kimefutwa nilitaka nimkaange akaangike..!! 😹
Njoo tulime wote utajua beiMpunga gunia sasa hivi umefika shingapi hapo Malinyi? 😹😹😹
Tupia vishavu tuvione😅Upo nikubless mashavu ukanichambe?😁
Ceasefire 😁Hujatukanwa umeambiwa ukweli, acha kurusha vijembe kwa wadada wa selfika..!!
Kama kuna mdada kakutaa au umeshare naye bwana funguka..!!
Una mvi lakini akili kisoda..
Hivi kama mdada sijui kaji-edit, mara Ai au snap wewe unaumia wapi??
Wewe mbona unapost pic sio zako wenzio wamekukalia kimya, kuna siku walikusema?
Unajitia diaspora na uko Malinyi unalima mpunga mbona watu wametulia?
Na wao wakifunguka mambo yako utakaa humu?
Vaa socks usikuHebu nielekeze namimi nianze kuvaa soksi basi..🙄
Hahhaaa chap nafuta!Tupia vishavu tuvione😅
Wewe kama wadada wamegoma kuinteract na wewe achana nao..!!Hahaha sijaposti kwa lengo la mtu ,wala sina shida na yeyote humu labda ni wewe tu umeelewa vibya , kama mods hawafuti nitaposti ninachoona ni sawa tu
Mgongo kama kabati😅Hahhaaa chap nafuta!
Lakini si uliupenda hivyohivyo au?🫢Mgongo kama kabati😅
Waje hapa waseme nimewapa ruhusa , kama hawapendi ninachopost kitufe cha ignore kipo live tu.Wewe kama wadada wamegoma kuinteract na wewe achana nao..!!
Sasa jiulize toka umeandika minyuzi yako na kuwaponda umepona ugonjwa wako?
Nyie ndo wale mkipewa nafasi huko piemuni mnaomba picha ili mwisho wa siku mzisambaze wadhalilike..!!
Mno 😋 muhimu unateleza kama nyokaLakini si uliupenda hivyohivyo au?🫢
sina hela naomba ubuyu.Una shingapi? 😹
Sasa kama hawapo uliowatongoza kinachofanya uwaseme nini??Wataje wadada nilio watongoza humu na nina ruhusu kabisa waweke ushahidi wala Moderator msiwahukumu kwa chochote nipo hapa nasubiri
Mgongo nyumba sio!Mno 😋 muhimu unateleza kama nyoka