binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .Aki mmeanza kulewa mapema sana vijana.
Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .Sema niniβ¦.. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
ππππ
Sasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?Sishindani na watu , wala sina shida na mtu, ni mada tu kama mada zingine ndio maana mods wanaziacha labda zinagusa tu ila sina nia ya kumtageti mtuπ
Wewe bwana ππππ Gayo the boy!Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .
WaMongolia hatuingiliagi ugomvi ila hapo watatuchokoza sasa π π
Ila vingine anapokea? πΉBaba starz ni ostaadhi hatoi wala hapokei rushwa
Hahaha , sioni tatizo, mods wangeona shida wangeufutilia mbali na wangenipiga ban , kama wameacha wameona hauna shida kabisa unafaa kwa matumiziSasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?
Acha kushindana na wadada kwanza inafanya hata ulio nao karibu wakuogope wajione na wao hawako safe..!!
Suala la kusoma comments mniachie nyie vuruganeni tu, kikubwa muwe na bima ili akizidiwa mtu tusipate shida kumtibu.Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .
Lamomy mwenyewe kanichambia min me ila lamomy hana shida nae kaona tu amsuuze.
Yeah! vingine vyote anapokea rijali yule .Ila vingine anapokea? πΉ
Kwenye 1 na 2 on the beeeeeeet .Wewe bwana ππππ Gayo the boy!
Mi nataka watu watajane majina ila nichague timu ya kuingilia.Suala la kusoma comments mniachie nyie vuruganeni tu, kikubwa muwe na bima ili akizidiwa mtu tusipate shida kumtibu.
Nawashukuru sana, nami sitawaangusha π€£π€£π€£π€£Kwenye 1 na 2 on the beeeeeeet .
Sisi kama Gayo family kwa umoja wetu wote tunasimama na wewe katika kila hali
Acha inyeshe, za wapendanao zikitimia watatajana tu.Mi nataka watu watajane majina ila nichague timu ya kuingilia.
Tumewachoka bwana, ni kama mnatakaga wanawake wasikaage na amani.
Wanawaogopa πΉSema niniβ¦.. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
ππππ
Ndugu zako wako selfika?Hahaha sijaponda na nyuzi naziweka chitchat , na wapo wadada mpaka ndugu zangu humu , hivyo ni hisia zako tu.
Kumbe wewe?Mimi nimekoma kushindana na Wanawake humu nakumbuka Kuna siku nilijichanganya wewe Dada ulinichamba vibaya mno na kunitukana .
Kwa hasira nikakuanziashia Uzi wa MaLove kuwa nakupenda na nikaweka challenge kuwa hakuna mrembo Jf zaidi yako kama yupo aje , ukaja kwenye huo Uzi tena kunichamba na kunitukana mpaka nikawa nacheka mwenyewe nikaamua nikuache tu π π π
Sema nimegundua wanawake wana heshima sana masikini π©π©π©Wanawaogopa πΉ
Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!
Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!
Ili wakivujisha na wao wanavujisha.
Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
Naunga mkono hoja ππππππWanawaogopa πΉ
Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!
Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!
Ili wakivujisha na wao wanavujisha.
Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
McheleTan za mpunga au mchele?
Hahah sasa hapo unanipangia namna ya behave π€£ mimi nitaposti ninavyojisikia tu kama mods hawana shida ambae hapendi kuona kitufe cha ignore kipo liveNdugu zako wako selfika?
Kwanini usiwachambe kwenye group lenu la familia?
Min wewe mshkaji wangu kwa hili kubali umekosea..!