Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Tina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi bana๐Tajiri unaishi ๐๐๐ฅ๐ฅ
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamaniโฆ!! ๐ฅ๐น๐น
Wewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! ๐นLamomy kichwa kinauma hapa alafu mapigo ya moyo yanaenda mbio. Hebu tupia Ile Benz hapa nipate kupona๐
Tina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! ๐น๐นTina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi bana๐
Umenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuulizia๐Wewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! ๐น
Mi Benz nalitoa wapi na maisha haya magumu?
Vijora vimegoma kutoka hapa nawaza hata pesa ya kula sina..!!
Naona unanikwepa kijanja, ๐น๐นUmenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuulizia๐
Please weka picha ya Benz nipate kuwa inspired, toka siku ile hadi Leo naiota tu. Please weka๐
tajiri wap naishi kwa shemeji ๐Tajiri unaishi ๐๐๐ฅ๐ฅ
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamaniโฆ!! ๐ฅ๐น๐น
Tina bado yupo, subiri kuna surprise kubwa sana๐Tina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! ๐น๐น
Nitakupa ya ganji dalali..!!
Salamu zimefika asee๐Naona unanikwepa kijanja, ๐น๐น
Nasubiri mchele huo wa kamsamba..!!
Bi mkubwa mpe hi sana..!!
Mwambie nampenda sana..!! ๐ฅฐ
Benz sina labda uniweke Kwa Mfalme aniwezeshe..!! ๐ฅ
Kwa shemeji kuzuri, basi niunganishe na shemeji yako ๐นtajiri wap naishi kwa shemeji ๐
nitumie ata buku ninywe supu ya kongoro nilale boss wangu njaa kali
Maisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! ๐ฅ๐ฅ
We muongo muongo hutaki nitoboe..!! ๐นTina bado yupo, subiri kuna surprise kubwa sana๐
Ndani wapi ndugu yangu, mi njaa tupu..!! ๐นSalamu zimefika asee๐
Weka hata ndani kidogo tuone maisha ndio haya
astaghfirullah astaghfirullahMaisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! ๐ฅ๐ฅ
Hiyo kifurushi chake cha laki 4
Unatumia Diamond mwenzetu unaunganisha mpaka kwenye ma- fridge..!! ๐น
Weee namie naja uning'ate sikio!Njoo nikupe ubuyu wa motomoto
Njoo nikung'ate shingoWeee namie naja uning'ate sikio!
Umekua vampire lini mrembo??? kuja utupie kwanza au nawe waogopa kuchambwa na rafikio????Njoo nikung'ate shingo