We acha tu😂Umekua vampire lini mrembo??? kuja utupie kwanza au nawe waogopa kuchambwa na rafikio????
POle/Nipo kwa bed nimejilaza nimechoka, siku yangu leo ilikua ndefu..!!
Mi sifugi Chiwawa, lipo lenyewe zee la kazi Germany shepherd 😹😹POle/
Panazamika au Manunu umefumfungulia? Yupo chonjo
Kapumzika shorii@Christine_1 mamchu nakutafuta sikupati ni umetoka jf au????
Spider umemtoa wapi le wii, ana mtrakoo🫢
🤣🤣🤣🤣wewe amini vyovyoteHuyu ni wewe au unaonyesha biashara ya kofia?
Tusije kusifia kumbe picha ya biashara..!! 😹
Kupata soft tissue ukiwa ziwani ni ngumu acha tupooze nafsiSpider umemtoa wapi le wii, ana mtrakoo🫢
Pita kidogo tukuone mtoto wa 2k🤣🤣🤣🤣wewe amini vyovyote
Mh..... makubwa!!!
😹😹😹 Em weka basi pic yako nikuone mrembo..!!🤣🤣🤣🤣wewe amini vyovyote
Meeting room naona CEO 😹View attachment 3684967Life ni la kiturist, tekitiolivuiti gademiti
Watesi mtakomaMeeting room naona CEO 😹
Ndo hadi kesho asubuhi lamama??? Ndonatia maguu saiiYani ndio nashtuka asbh sana nishtue la mama☺️
Duhhhhh!!!!Kapumzika shorii