spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
KwaninToka hapa nimewanunia we na Seran π
Sio saiv tena labda nje ya mjikanda ya ziwa vyakula kibao mkuu, sikuiz nikienda kutembea maskani huwa naondoka bila hata kuaga maana kila muda misosi π
pole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napoSio saiv tena labda nje ya mji
Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500π
Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka π
Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo π
Hapo sahihiπpole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napo
nmetoka uko mwezi wa 8 kutembelea ndugu na jamaa aisee kuna mshikaji wangu mmoja kwao dsm alihisi kama wanafanya kufuru ya chakula. tuliondoka bila hata kuaga mtu
Tuko muoneee π Ngoja nitafute niliyokula kimini, ujue mi na miguu membamba afu napenda kujitoa ufahamu kuvaa vimini ππWeka nihakikishe basi mate, toto la kinyaturu lenye rangi ya dubenga..!! πΉ
Tule tusamaki tuna chumvi? π€£Halafu nimemiss tule tusamaki twa Moro wanatuita nguruka.. πΉπΉ
Basi tu nimewagaya πKwanin
Mwema usiku na kwako pia mkuu
Nasubiri π₯Tuko muoneee π Ngoja nitafute niliyokula kimini, ujue mi na miguu membamba afu napenda kujitoa ufahamu kuvaa vimini ππ
Tule tusamaki tuna chumvi? π€£
Nasubiri π₯
Eeh twenye chumvi nyingi πΉπΉ
hahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa πHapo sahihiπ
Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalizeππ
Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
Ila selfika, hatujakoma tu kusemwa π€£
Uwe unapita mitaa hii, hata zile za simba na yanga zitaisha, Mwangalie Mahondaw huko juu kama hajafuta π€£Hapa stress zangu za Man U zimeisha kabisaπ₯π€
Kumbe kuna uumbaji nikiachana na mpira sikujua hili
Umeua mkuu π₯π₯
Same to you babes π€β€οΈbinti kiziwi bi mzuriiiiiπ₯°π₯°π₯°
Sasa nilale unono
Kazi hii hapa sasa π₯π₯π₯ππ
ila nasubiri ahadi ujue πSame to you babes π€β€οΈ
nimeshindwa kujizuia kukusifia aisee chukua maua yako πΉπΉ
Hiyo mlifanyiwa attemp assassination ππhahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa π