ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwani kuna shidoooπ πHa ha ha! Sasa si watu wataona nijipakulia minyama. π
Ukisikoa naked ndo hizi sasa!
Haha Chino bana, Ni mkikuu, mnyampaa ni wa kiume.Ukisikoa naked ndo hizi sasa!
Mnyapaaa umenyooka
Hakunaaa ushindweeeeOya oya oya!!!
Mamaaa mamamaaa πββοΈ
Ishi humo broSafi sana binti π₯ π₯
Kaka Chivundu hizi ndo rangi znazotaka kukutoa roho π₯ π₯ π
ππ Muone!Kaka Chivundu hizi ndo rangi znazotaka kukutoa roho π₯ π₯ π
Binti muongo huyu mtu akija hapa utasema kulikua na mtracooπ π ππΌMashallah π₯°
Mtoto jojo, body kinanda..!!
Huo mtraco sasa huko nyuma awww π
Kujenga wanaume wasahau kwa pisi hizi..!! πΉπΉ
Dagaa wa huku mhhhhh πTwendeni sasa tukaanike dagaa
View attachment 3690249
Mbinguni utafika mate lakini hoiiiii πMamaaa mamamaaa πββοΈ
Nyie tunaishi na malaika humu π
Mate huu moto sio wa kipolepole π₯π₯π₯
Mungu kaumba, mama kazaa..!!
Mwanamke maji ya kwanza
Kaka zangu mnapitia magumu, kujenga mtakusikia..!! πΉ
Dagaa wanaanikwa 5 star room?Twendeni sasa tukaanike dagaa
View attachment 3690249
Nisipokusoma wewe ntamsoma nani mwingine.Khaaaaa..!! πΉπΉπΉ
Ulinisoma kumbe?
Mi sijui nna mapepo?
Hilo ndo tatizo langu, nakupenda asubuhi ikifika jioni penzi limeishaaaa..!! πΉ
Au umelewa leo mkuu π πSasa macho hayana pazia. Uzuri ulionao ndio utakao tuleta PM. π
Upo mtraco tena wa kwendea haswaaa π₯π₯Binti muongo huyu mtu akija hapa utasema kulikua na mtracooπ π ππΌ
Msema kweli mpenzi wa Mungu, uongo mi sitaki! πΉMbinguni utafika mate lakini hoiiiii π