Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema I like it!!
Migundu gundu ya ovyo ovyo unaiavoid!!

Hatakungoroka pia
Kupandwa pandwa hovyo naona jau kweliโ€ฆ!!

Huyo mpenzi mwenyewe niliyenaye hayupo tz ni kama wote tunachorana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kasema Dec anakuja, namuandalia kipindi cha escape from sobibo..!! ๐Ÿ˜น

Lazima nitafute safari nimkwepe, nitaenda hata mbinga kwa kina coca kujificha..!!
 
njoo ujifiche huku kwetu mabonde kuinama tajirii yan nikikuona tu ata nikifa siku iyo sijutii kabisa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
tajiri unanjua mimi naanzia wapi kukunafkia aisee, kwa ilo body tea lako la mwaka wa mbele leo nikilala lazima nikuote aisee af kesho naenda kuuza viwanja vya familia kwa ajili yako aiseee. ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Uko bia ya ngapi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hizi taarifa kuwadi wako anazo?
Asije kusema nimekuroga..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ