Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi niliposti kuhusu Imma alivyojiudhuru Mtu aliniomba kwa wema nifungue PM nikafungua akaniambie nijishikilie

Ngoja nikupe link ya uzi
 
Huyo huyo 😹
Kwani umesahau nawe udugu kipindi kile mpaka babu miga avujishe zile chat hapa kisha tukamchenjia?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nishakumbuka, ila Selfika imepitia mengi aloooh
 
Watu na mabebe zenu, na mie mniitie mmoja aje hapa aselfike nipate wa kusaidiana kuongeza mtaji wa vijora..!! 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe tena? Si unae kutoka magogoni? G.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Share then nitaupitia mkuu

Huo hapo bro
 
Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo

Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi

Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani

Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria

Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu πŸ™Œ
 
Kumbe hata kiko hutaki lol πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…