Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie anavyokuja, ndivyo navyo mpokea, aibu mtaona nyie, aloooh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani akiandika nawe ukanyamaza pasipo kumjibu utapungukiwa na nini?

Jifunze kupotezea baadhi ya mambo hasa ya aina hii ambayo yanaweza kukuchochea ukamjibu mtu vibaya
 
Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Hakuna ugumu, wanakudaka, unless uwe hujawahi kuwasiliana na mtu nje ya hapa, au laah watu wako wasiwe wa kushuka bei, nje ya hao system, kuna waja tu wanaotaka kuwafahamu watu kiundani huwa wanatumia wenzao kuwachota kirahisi.

Sema wanaotafutwa ni wale wanaotoa za Jikoni, km Brittanika, etc.
 
We nae tutakufatilia CocaπŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe tena? Si unae kutoka magogoni? G.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Mbona magogoni..!!
Na sijui kapotelea wapi?
Sijamuona week hii kabisaaa..!!

Anataka miamala yake urudishe umeshindwa kufanikisha mission.!!
 
Hahahaha.

Ni kweli hapo nyuma naona humu usalama ulikuwa mkubwa.

Kuna kipindi watu walikuwa na magroup huko whatsapp kabsa ya humu JF.

Japo kila kipindi na woga wake hapo nyuma kulikua na dhuruma sana vijana wanaanzisha groups then admin analeft group na pesa za member πŸ˜„.

Lakini sasa hivi usalama hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…