๐๐nawaona na lamomy tuAtanikataa tuu huyu! Leo ananishambulia sana. Sijui shida nini? ๐
Hawezi, ila mfate pm.Atanikataa tuu huyu! Leo ananishambulia sana. Sijui shida nini? ๐
Kwani wewe umeona? ๐น
Mi nimeweka miguu nashangaa nasifiwa rangi na shepu..!!
Em toka hukoo ๐น๐นNa tukipeana kidogo Kuna tatizo ?๐
๐๐nawaona na lamomy tu
๐
Hizo kampeni zako hazitafanikiwa ๐น๐น๐๐nawaona na lamomy tu
๐
Jamaanii ๐น๐น๐นNimeona hiyo picha, sema watu humu hawajui "English figure". Hii shepu uliyonayo wewe ndio English figa. Shepu kama ya JLO hii. ๐
Aweke picha amekua na maneno mingi huyu malleMallerina, haya sasa nakuwekea picha hapa ili uache kunishambulia.
Aweke picha amekua na maneno mingi huyu malle
๐คฃ๐คฃ๐คฃmaneno yapi sasaAweke picha amekua na maneno mingi huyu malle
Chat kwa picha๐คฃ๐คฃ๐คฃmaneno yapi sasa
๐ ๐ ila lamomy we kiboko humu aiseeeeMalle papaa umemuona?
Hapo material yamejaa wewe ni kuita mafundi ujenge..!! ๐น
Hilo hardware lenyewe ushindwe wewe kumiliki mjengo..!!
Oh shemeji mbona ghafla umekuwa mkali? Naomba usimwambie dada Yako hili. Limeshapita.Em toka hukoo ๐น๐น
Mi shemeji yako kuwa na adabu..!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃjmni mbn nawekaga humu