Wachaaa
Mdogo wangu sijaona picha yako humu uliyo crop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahhahaha aiseWanajeshi wako romantic, wanacare, sio wabahiri, wakweli na at the same time ni waongo waongo, wastaarabu ila hapa ni baadhi π
Ila sasa ni viwembe noma mbaya ππ
Ungesimama tukawachoma wanga na macho yao
Duuh huu uzi unanifanya nasahau kwenda bar leo
Haha hajakupenda huyo, inawezekana vipi apeperuke kisa mkono? Ameamini vipi, je kama umeitoa na wewe gugo ππ
Wapitishe kamchango eeh?
Ungesimama tukawachoma wanga na macho yao
Duuh huu uzi unanifanya nasahau kwenda bar leo
Kila aliyelike pale juu atoe wekundu mmoja mweka hazina niko hapa
mnara diswaaaaaHatimaye nimefanikiwa hiyo. (Camera yangu ya nyuma imepasuka ndo maana hiyo picha imetoka kama na ukungu hivi).
Hiyo ni jana Zanzibar View attachment 1219921
Bby yule mdudu namsubiri bado
Aisee.Mdogo wangu sijaona picha yako humu uliyo crop
Nasubiria mrembo.Natuma dk moja na kufutwa
Woyoooooo ππππππHatimaye nimefanikiwa hiyo. (Camera yangu ya nyuma imepasuka ndo maana hiyo picha imetoka kama na ukungu hivi).
Hiyo ni jana Zanzibar View attachment 1219921
Hahaaaa....Shauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Za gugo zinajulikana tuHaha hajakupenda huyo, inawezekana vipi apeperuke kisa mkono? Ameamini vipi, je kama umeitoa na wewe gugo [emoji23][emoji23]
Saint anne usitufanyie hivo