Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda 34 - 10 = 24.
Bei gani hawa mzee baba
Hatimaye tumekuona mommy. [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Utafika tu huko acha papara katoto kalitoDogo achana na hesabu za kuassume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nina shauku fulani ya kutuma picha.Hatimaye mpendwa umepost[emoji7]
Kama 34 ni uzee basi Mimi nimezeeka[emoji16]Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nahisi nimepatia jibu, ooooooooh[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo achana na hesabu za kuassume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkubwa jamani.Utafika tu huko acha papara katoto kalito
Hata mie napenda uzee jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni[emoji23][emoji23][emoji23]
A wapi[emoji23]Wee nahisi nimepatia jibu, ooooooooh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah mwamba Palladino wa kwa Zulu Natal nini ๐๐๐Happy birthday Jack Palladino.Hili penzi lidumu hadi siku moja ile special tule pilau kwa chai kwa hisani kubwa ya mrembo Saint Anne!๐๐๐
View attachment 1777263
Njoo tuzeeke pamoja basiHata mie napenda uzee jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaa[emoji7]Leo nina shauku fulani ya kutuma picha.
Mambo matam namna hii sasa ๐๐๐Birthday girl[emoji512]View attachment 1777039
Hujai hata kwenye kijikoMimi mkubwa jamani.
Watu mnachat na dada zenu humu.
Huyo mzee wa chura amemshusha Sana babe wangu.Hahahah mwamba Palladino wa kwa Zulu Natal nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnakadiria miaka kwa kuangalia miili[emoji23]shauri zenu.Hujai hata kwenye kijiko
Wee mie nna 39, bado 6 yrs nifike menopause. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tuzeeke pamoja basi
Hahahah nimeamini hakuna cha kudumu katika hii dunia isipokuwa kifo tu๐คฃ๐คฃ๐คฃHivi kina Mbosso,Diamond,Baddest47 kijana wa Mwanjelwa huwa unawasikiliza pia?
Kaone kanavyopenda picha๐๐Ewaaa[emoji7]
Ongeza tena ingine.