Changu rii kiukweli siku hizi unanitenga sanaChangu Lee Asante sana Na mimi ninakusalimia Kwa ukaribu mkubwa mno
Asante...nakuwaga Na safari za mwanza Mara nyingi sana lakini sinamwenyeji wa kunitembeza katikati ya jijiπkaribu sana.. mwanza unaweza usirudi tena Dar es Salaam tena....
Ninini changu Lee kuharibu jina sasaπChangu rii kiukweli siku hizi unanitenga sana
π€£π€£π€£π€£Ninini changu Lee kuharibu jina sasaπ
Sijakutenga changu Lee sema tumetenganaa
Hahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!Safi sana, sasa unapumzika alone jamani.. sio fair πππ
We cheka tu unaadhabu yakoπ€£π€£π€£π€£
Itabidi unisamehe sina namnaWe cheka tu unaadhabu yako
Wanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Mfungo wako wa kanga umenikumbusha mbali sana..kipindi hicho nikifunga namna hiyo kitako kilikuwa kinachomoka chomo ππ sijui hata kimepoteleaga wapi kitako changu jamani π€£Hahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!
ππ Mwanza patamu, utafurahi sana kuanzia sasa.. Mwanza raha, hakuna kash kash kama za Dar es Salaam.. utachagua tu viwanja vya kwenda.. hadi uhamie moja kwa moja...Asante...nakuwaga Na safari za mwanza Mara nyingi sana lakini sinamwenyeji wa kunitembeza katikati ya jijiπ
Sikusamehi bure..natoza fwezaItabidi unisamehe sina namna
Jf money hapo itahusikaaaaSikusamehi bure..natoza fweza
πππ Mambo ni double double, unaona hata mwaka wenyewe ni double double.. 22 na sio 21.. Wakubwa wanafaidi sanaHahaha... Ngoja nicheke tu hahaa!!
π€£π€£π€£π€£π€£Wanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Hebu ngoja nijichungulie Kwa nyuma kulithibitisha hiloπWanaume..na wanawake pia.. wanawake wafupi wengi wao nyuma huwa mashallahhhhh!!
Kweli tena![emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninaiman kunasiku nitahamia mwanza.ninapapenda sana.ππ Mwanza patamu, utafurahi sana kuanzia sasa.. Mwanza raha, hakuna kash kash kama za Dar es Salaam.. utachagua tu viwanja vya kwenda.. hadi uhamie moja kwa moja...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu ngoja nijichungulie Kwa nyuma kulithibitisha hilo[emoji16]
Yap ni kweli Ila sio wote..mwanzo nilikuwa nawachukulia poa [emoji16][emoji16]banaange[emoji16][emoji16]
Ila wanagubu kha