Sawa... umesema initwaje vilee??Safi kabisa.. utanipa mrejesho
Wapi Cate hotels auLeo wengi mnaenda huko kuna nini aseee.. kuna mtu asubuhi ananiambia anaenda huko, mwingine haijapita robo saa nae kaniambia anaenda huko kunani aseee
Haaha ndiyo ratiba yake ya weekend eeh?Itakuwa amefika mtamkuta tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Eeeh! bwana.. mie sema nimeotewa na mie ningekuwa hayo mamitaaa πππWapi Cate hotels au
Nina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nkamu umeweka kituo au una safari nyingine? Will be there in half an hour
πππ weekend za kikubwa hizoHaaha ndiyo ratiba yake ya weekend eeh?
Nina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kama wewe na Makiwendo msivyo aminika kwenye appointment ππππNina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmhh hata sijui ila mie siishii Hapa naenda Dodoma [emoji846][emoji846]Eeeh! bwana.. mie sema nimeotewa na mie ningekuwa hayo mamitaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Dodoma basi utanikuta mkuu.. tule bata.. mie nipo around shopper's βΊοΈβΊοΈβΊοΈMmhh hata sijui ila mie siishii Hapa naenda Dodoma [emoji846][emoji846]
πππ Utapishana na muujiza wako siku mojaHii tabia yangu ya kutokuaminika, itaniponza jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nije PM
Makiwendo alikurushia msala basi ππaliniambia mnakuja, nikakaa masaa sita nasubiriKha kwani lini tulipanga appointment na mtu na sikutokea [emoji23][emoji23]
Sawa [emoji4][emoji4]Dodoma basi utanikuta mkuu.. tule bata.. mie nipo around shopper's [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Na macho yale, nakuwekea na juice ya kungu from mashariki ya mbali huko nzuuuri hiyo πππSawa [emoji4][emoji4]
Nimeshaiacha 2021, nipo serious sasa hivi[emoji16][emoji16][emoji16] Utapishana na muujiza wako siku moja
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]kama wewe na Makiwendo msivyo aminika kwenye appointment [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]