Selfika na JF: Snap it. Show it

Nachopendea hii nakula hadi jasho, alafu namalizia na chawi dawa kabla ya Americano.. then naanza mchaka mchaka kupandana na kina kaisari ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Safi kabisa๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ
Inaelekea unapenda coffee sana.

Kuna kipindi nilikuwa bila kupiga espresso aise maisha yanakuwa magumu mno nachoka Choka hovyo
 
Dah[emoji1787]
Hii kauli huwa naambiwa nyumbani
Tena wewe inatakiwa umpate mume ngangari kama wa kanda maalumu ukileta mambo yako chap Kwa haraka anakuzibua๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃvinginevyo utampanda hadi kichwani.

Hebu tuache masihara..hivi kwanini vilastborn vinapenda kuendesha watu?
 
Safi kabisa๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ
Inaelekea unapenda coffee sana.

Kuna kipindi nilikuwa bila kupiga espresso aise maisha yanakuwa magumu mno nachoka Choka hovyo
Usije kuwa wewe, kuna pisi kali moja tulikuwa tuna meet nayo karibia kila siku marrybrown inachapa ka espresso yake then hiyo inasepa hadi ikawa rafiki yangu.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ