Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,777
We worship your Holy name
Njoo bwana upande. mti ππJamanii wewe si ni marefu sana so unanyoosha mkono tu unanichumia!
mkuu unakubaliana nae?Uko deep sana kwenye psychology
acha fix.. basi πππ..Sanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50
Nimeshakua mkubwa rafiki siwezi kupanda mti huo kama huo!Njoo bwana upande. mti ππ
πππNimeshakua mkubwa rafiki siwezi kupanda mti huo kama huo!
hahahahaacha fix.. basi πππ..
Tutateteana mama Ila malumbano yakianza nitakukimbia..siwezi kulumbanaπππ€
Bora mwaya siku tukishambuliwa na wenye mahaba nae tuteteane π
Hizi nukta za nini Kwa huyu mrembo....
Siku hizi unamapengo eheenimekumithi
Ndiohahahaha.kwahy umenichunguza ktk maandishi?
Hebu niwache mimiπacha fix.. basi πππ..
Unanicheka siohahahaha
buti kinakuhususorry kipenzi..
kwamba niko km ulivyosema?Kwa msomaji wa kimya kimya kama mbalizi1 ni lazima akubalianae nami
tulie wewe ππ nakuachaje sasaHebu niwache mimiπ
Jamani ona na wewe eti . kweli Mtu mzima wa kupanda juu ya mpera kweli??Tabia mbaya umeanza lini
[emoji1787][emoji1787]