Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Naomba niletee jezi yangu Ile niliyoweka kabatini upande wa kushoto,ipo Kwa chini,kisha niselfike tasafali!!Selfie moja tafazali na Arsenal jersey
πππtawileeeeMpiga picha alikua makini na kazi, nilimwambia mapema kuwa hii picha ni spesheli so amakinike basi naye nashukuru hakuniangusha
Kwenye nachuro hapo hahahaaaa niache kwanza nipo kwa mfungoπ€£π€£π€£π€£
Endelea boss
Siyo wewe[emoji23]Mimi hapa arsenal nipo..huna haja ya kutafuta
Asanteeee hii nimeipataπ
Safiii
google ππHibiscus πΊ tea inafanyaje mwilini?
Naikwepaga kwa mzabuni
Fanya hima ndugu kabla hujachelewaπMweee [emoji1751][emoji134]
Utanifanya nianze kutafuta mashabiki wa Asenali humu [emoji1787]
Kingine nimesimama mlangoni nasubiri kufunguliwa
Ninayo nyingine nzuriiii, tukionana ujichagulie moja nikupatieNakusikiliza boss wangu πΉ
Nimeenda kuiangalia tena
Sunglasses pambeee
Urudiweeeeee