Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Si nilisema sio mimi jamani, guu like nilitolee wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weeeh ma mchungaji ile picha ulitumaga umeshikana na fazapastor una guu zuri tu mbona afu limejaa jaa kidogo!
Tumeona we ni msoftiiiAsante mwaya❤️, yaani ngozi imeamua kunistiri tu saizi, huku mwilini hainaga tabu sana, usoni sasaaa ni korofi sijapata ona 🤣🤣🤣
Umesahau ku attach pichaGod's blessings [emoji120]
Basi walipendeza mnooo wanaendana pia!Si nilisema sio mimi jamani, guu like nilitolee wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu pale juu ndiyo nimeona; mwenzio guu langu refu navaa size 41
Sanaaaaaaaaaaa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi walipendeza mnooo wanaendana pia!
Hahahah usiisahau na snapchat, maana haikatai mtu ile ijue 😆😆 ... inatustiri usipimie 😃😃Tumeona we ni msoftiii
Au unataka kuisingizia aifon 😝
Yani ngozi ikikusaliti mbona utajikataa!Huwa inatokea tu, me nakwambia ngozi yangu ni korofi usoni lakini, kwa mwaka nakua na aina hata tano za ngozi [emoji23] ila saivi naona imetulia
Yaani kioo ndo kinakua adui yako no moja 😃, ukijiangalia unaskia hasiraa ....Yani ngozi ikikusaliti mbona utajikataa!
Usiku mwema kipenzi😍
hahahaaa...acha kabisa mie sasa nisivowezaga kuangalia kipele usoni yani lazima nijibinyebinye unakuta sura yote imevimba!Yaani kioo ndo kinakua adui yako no moja 😃, ukijiangalia unaskia hasiraa ....
Baba JNipate beer mbili Fuvu lipooze sasa..View attachment 2170893
Sio mnywaji Ila natamani Hilo shelf niwe nalo home.Nipate beer mbili Fuvu lipooze sasa..View attachment 2170893