spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Kumbe nililike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaona huyo anakusanifu tu. Amelaiki fasta halafu akaanza kulalamika sijui swaumu nini...
Naona mtandio umemharibia swaumu yake. Alikuwa anafikiri Boss Lady ni wa mchezo mchezo? Mwache apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema
Ewaaaaaa! Hajjat mzuri mzuri โ๏ธโ๏ธ๐Unaka kusemaView attachment 2183956
Shauri yako
Mtandio kama ndo ule basi khatar sheikhKaona huyo anakusanifu tu. Amelaiki fasta halafu akaanza kulalamika sijui swaumu nini...
Naona mtandio umemharibia swaumu yake. Alikuwa anafikiri Boss Lady ni wa mchezo mchezo? Mwache apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Umefunga wewe?
ByeeeByeeeeeee[emoji2442][emoji2442][emoji2442][emoji2442]
Linda swaumu yako kwa hali na mali Ostaadh! [emoji16][emoji16][emoji16]
nakuja kula iftarNdiyo[emoji41]
Duh sijaikuta tenaJamani ๐๐ haya sekunde tatu nafuta... ukitoka usinilaumu
nishatupia nyingi sana leo ๐๐!Duh sijaikuta tena
Zote zimenipita๐nishatupia nyingi sana leo ๐๐!
Ulikua Wapi lakini??Zote zimenipita๐
Dah majukumu boss ladyUlikua Wapi lakini??
Hata hivo nyingi nimezirudia tu nahisi ushazionaDah majukumu boss lady
๐๐๐ ngoja ni assume nishazionaHata hivo nyingi nimezirudia tu nahisi ushaziona