Kwa kweli hakuna mpendwaNitulie na mmoja ili nigundue nini ๐ ๐
๐๐๐good.. labda tutarudiana uzeeni au basiKwa kweli hakuna mpendwa
๐๐๐๐๐๐good.. labda tutarudiana uzeeni au basi
Shgazi nipo sana.. mambo mengi shangazii.. salama kabisa weekend vipi
Safi sana Shangaziii.. acha tuchape moja moja siku iishe naona siku ndefu sanaaaPole sana,tunashukuru Mungu weekend iko poa ..
Niko poa mbona uko mpya sana rafiki?Uko poa rafiki??
Sitakiii umeniacha unategemea uzee shindwaa kwa jina la Zumaridi๐ฌ๐ฌ๐ฌeeh tuje tumalizie uzee pamoja ๐๐
Unajua wapenzi hawaachani.. wanapumzishana tuu.. na upendo woote ule uje unigomee kabisaaa..... kuna hujuma nilikuwa nafanyiwaSitakiii umeniacha unategemea uzee shindwaa kwa jina la Zumaridi๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Niliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa๐ฉ๐ฉUnajua wapenzi hawaachani.. wanapumzishana tuu.. na upendo woote ule uje unigomee kabisaaa..... kuna hujuma nilikuwa nafanyiwa
haujui utamu wa kipolo weyeeee... kipolo kiheshimiweee... mambo yataatanzia hapo upyaaa kama hatujawai kutanaNiliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa๐ฉ๐ฉ
Ujue nipo gamboshi nita ku set huku hukuNiliwahi kukwambia mimi nikiachika siangalii nyuma au kupasha kiporo we siunitaki sawa๐ฉ๐ฉ
Sikiliza nyimbo hii i miss you Rayvann feat Zuchu๐ฌhaujui utamu wa kipolo weyeeee... kipolo kiheshimiweee... mambo yataatanzia hapo upyaaa kama hatujawai kutana
Wewe mimi Mwanamke kutoka Tanga huniwezi kama una bisha nipe mkono๐๐Ujue nipo gamboshi nita ku set huku huku
weeeeee... haiwezekani.. nitaunganisha nguvu ya kwa msisi na gamboshi hutoki yaani.. huku kwa kamchepuko naonja tuuu.. ila HQ ni wewe ๐Sikiliza nyimbo hii i miss you Rayvann feat Zuchu๐ฌ
Na mie ujue ni hybrid .. utashangaaa unakuja mwenyewe nisiwe na maneno mengiiiWewe mimi Mwanamke kutoka Tanga huniwezi ๐๐๐
Mie wa zamani rafiki [emoji1][emoji1]Niko poa mbona uko mpya sana rafiki?