wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Huyu siyo JB?
Mie sitaki,,hile mechi ya S.A,nilitokwa na machozi wallahTupo wengi hahaha
Ya nini kujipa stress [emoji23][emoji23] ..
Ile iliumiza mno aisee
Huwezi kupata usingizi πSitaki presha,nikimaliza kufturu tu kulala[emoji23],sijui usingizi nitapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko kuvaa hizo bora nitembee uchiπ¬π¬Sema nije na ya rangi gani.. ukijiandaa kula 11 zako π π π View attachment 2206221
Leo jiandae kutoa kamasi kabisa na udenda
kwani huwa hutembei uchi chumbani na bafuni au basi ππKuliko kuvaa hizo bora nitembee uchiπ¬π¬
Akuuu sitembeiπ₯·π»kwani huwa hutembei uchi chumbani na bafuni au basi ππ
weeeee π πAkuuu sitembeiπ₯·π»
Ndio π¬weeeee π π
Ulivyo mzuri kwa mwili, usitembee uchi kwakweli utaleta taflani tu π π π ila leo 2 - 1 pale pale na 11 zipo pale pale labda ukimbie au ujificheNdio π¬
Mkitufanga nyinyi leo sitaonekana kwenye uzi wa sefika maishaπ¬πUlivyo mzuri kwa mwili, usitembee uchi kwakweli utaleta taflani tu π π π ila leo 2 - 1 pale pale na 11 zipo pale pale labda ukimbie au ujifiche
Jiandae kuto kuonekana aisee 2 - 1 zipo pale na 11 nyumbani zipo pale pale.. jiandae maumivu ya two in one π π πMkitufanga nyinyi leo sitaonekana kwenye uzi wa sefika maishaπ¬π
Ilsikitisha sanaIle iliumiza mno aisee
Wachezaji walifanya kazi nzuri sema bahati haikuwa upande wetu .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeonaHuwezi kupata usingizi [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulia basiLeo jiandae kutoa kamasi kabisa na udenda
na mimateee na ka haja kadogooo kiduchu π π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulia basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku , tutafanikiwa tu