bila shaka atakuwa ameona hii commentOngeza vizuri na Heaven Sent
Hadi siku ukifungua PM [emoji1787][emoji1787]
Mmmh hapana..Ndio nashangaa
Ni uchi
Ghafla tu
Weuweeeeee 🔥 🔥
Umependeza sana mama mchungaji 🤍
Akija mama makapu utamsimulia🤣🤣Weuweeeeee 🔥 🔥
Credo to fundiii
Amekipatia.. kimekukaa vyedii
Na hiyo kijani hapo 😍😍🔥
Ahsante sana dearUmependeza sana mama mchungaji 🤍
Kwa kweliAkija mama makapu utamsimulia🤣🤣
Ndio ndiooo!!! Asante sana... Umependezajee mama mchungaji!😘
Ahsante bosilediNdio ndiooo!!! Asante sana... Umependezajee mama mchungaji!😘
Mmh
Since '12 huko
Umewawakilisha vema wanyaki nkamu❤❤👌
You look lovely in that dress
[emoji1787][emoji1787]Ntaendelea kuwepo sana Insha Allah
Aiseeee..Hakuna kazi ngumu wakati wa kula kama kula kichwa cha samaki 😒View attachment 2226044
Kichwa kama kichwa 🤔🤔🤔🤔🤔🤔!!Aiseeee..
Hujui utamu wa samaki kichwa
Kwenye kufanyaje sasa?🤣🤣🤣Umewawakilisha vema wanyaki nkamu❤❤👌