AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Feb 22, 2024 #1 Salaam, Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa. Username inayotumika ni ipi na Password ni nini? Selform MIS Karibuni kwa msaada. Attachments Screenshot_20240222_202109_Chrome.jpg 160.3 KB · Views: 14
Salaam, Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa. Username inayotumika ni ipi na Password ni nini? Selform MIS Karibuni kwa msaada.
Nicklaus JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 459 Reaction score 458 Feb 26, 2024 #3 Kwa maelekezo zaid, bonyeza hiyo sehemu iliyoandikwa Manual, kisa soma na kufuata malekezo yaliyoanishwa
Kwa maelekezo zaid, bonyeza hiyo sehemu iliyoandikwa Manual, kisa soma na kufuata malekezo yaliyoanishwa