Seli za damu hazizalishi damu

Seli za damu hazizalishi damu

23 gram/ decilitor

Samahani, mkuu...pamoja na kutochangia kwa wakati sikukuelewa vizuri katika maelezo yako ya awali...lakini napata shida tena unasema wingi wa damu yako ni 23g/dl,???????!...na unasikia dalili ulizotaja, na pia ukipima unaambiwa una damu ndogo???
 
Katika vipimo vyako ulisha wah kuambiwa kuhusu anaemia? Nijibu! Unaweza kutumia email yangu "temuerick@yahoo.com"
 
samahani, mkuu...pamoja na kutochangia kwa wakati sikukuelewa vizuri katika maelezo yako ya awali...lakini napata shida tena unasema wingi wa damu yako ni 23g/dl,???????!...na unasikia dalili ulizotaja, na pia ukipima unaambiwa una damu ndogo???

hivyo ndivyo mkuu, tatizo kubwa nilililoambiwa ni upungufu wa damu kwa kiwango kikubwa, na madhara yake ndo hayo niliyoandika hapo juu, kwa sasa, sina hamu ya kula kabisa, na siuelewi mwili wangu kabisa, na hata hivyo nimezidiwa na mawazo ya hofu sana. Tofauti na wanavyodhania wachangiaji wengine kuwa matibabu ninayopata ni ya mtaani, laah hasha, yanatolewa na hospitali kubwa sana hapa nchini, na ni ya serikali. Ninachoambiwa ni kuwa mwili wangu hauna uwezo wa kuzalisha damu, nivumilie mpaka pale shimo lililotekea/hall/gape iliyotokea kipindi nawekewa damu kipindi nipo mdogo(kimakosa/walikosea)lizibike, na damu yangu itaanza kujizalisha normal, na nimeambiwa inaweza chukua miaka mitatu ijayo. Na sidhani kama nita survive.
 
watanzania wengi wanaangamia kwa kutopata ushauri kutoka kwa watu sahihi. Hii inatokana na serikali kushindwa kuboresha mazingira ya kazi kwenye hospitali za umma ili wahudumu sahihi wawepo mahali hapo. Kwani watu wengi wanakimbilia mjini kwa kuogopa kwenda kuwa kama waganga wa kienyeji huko wilayani. Vipimo vingi vya muhimu kama xray,fbp, rbg, rft, lft vimekuwa kama anasa kwa wagonjwa wa kitanzania wakati ni vipimo vya mwanzo tu ili kujua tatizo la mgonjwa. Tunahitaji kuendelea kuishinikiza serikali kuangalia upya aina ya huduma wanazopewa watanzania.[/QUOTE
Hivi zikuzwa hata kwa bei ya mnada tu Landcruier V8 mbili zenye usajili wa STK,hiyo hela itakayopatikana haiwezi kununua hivyo vipimo na hao waheshimiwa waliochukuliwa hizo gari wakapewa used Toyota Land Cruiser Prado(maana hobby yao ni fourwheel drive) haitasaidia kuokoa maisha ya maelfu kama sio makumi elfu ya watanzania ambao wako hoi kiafya????
 
Dah...... hapo kwenye nyekundu umeniacha kabisa............. sijaelewa kabisa hiyo mechanism ya tatizo....... kitaalamu nashindwa ku-grasp kilichosemwa hapo, labda my colleague Muciprocin@ atakuwa ameelewa.....
hapo kwenye green-hizo symptoms zote ulizozitaja ni kwa sababu ya upungufu wa damu-anaemia- na hazitusaidia kujua kisababishi za tatizo lako!!!
Na hiyo damu ya 23 ilikuwa katika unit gani?? is it gram per liter or gram per deciliter?(i know unaweza usijue ilikuwa kwenye units gani)...... ila usipotaja units tunashindwa kuelewa kama ulikuwa na upungufu wa damu au la

bullet nyekundu anamaanisha "air embolism" nimemuelewa kiasi let me try to thnk!
 
Last edited by a moderator:
bullet nyekundu anamaanisha "air embolism" nimemuelewa kiasi let me try to thnk!

ASANTE SANA Dr. RICK, NINASUBIRI MREJESHO, NA NILIPOST KTK EMAIL ULIYONIPA, UKIIPATA PLEASE REPLY VIA THE SAME E-MAIL.

MUNGU AWABARIKI
 
bullet nyekundu anamaanisha "air embolism" nimemuelewa kiasi let me try to thnk!

how does air embolism impair erythropoiesis? Tuongee ukweli huyo daktari alishindwa cha kumueleza mgonjwa na kumrefer akawa hataki anataka UBINGWA. Mwisho akishia kumpa pathophysiology zisizo na scientific basis. Huu ni ugonjwa ambao kada fulani ya afya wanao ndo maana hata referal hospitals wagonjwa wanafika hawatibiki tena. Referal is the best option if things are out of our capacity, hakuna atakayekuuliza kwa hilo! Tunatesa wagonjwa sababu ya kutafuta sifa zisizo na msaada. Sory doc niliwahi tokewa na situation kama hii ya ndugu yangu kucheleweshwa na waswahili wa medicine mpaka anafika mnh ana cacx stage iv na hospitali alienda mapema kabisa.
 
Dada pole. Ebu tafuta bitruti moja, karoti moja na apple moja. Safisha kweli kweli kasha saga kwa pamoja na kula mchanganyiko huo asubuhi kabla hujala kitu na kwa siku kadhaa. Yaani ukishakula huo mchanganyiko kaa kwa muda kama masaa mawili hivi kabla hujala chakula kingine. Endelea hivyo kwa muda halafu kapime utuambie inakuwaje. Mungu akuponye uendelee na maisha yako kwa amani.
 
how does air embolism impair erythropoiesis? Tuongee ukweli huyo daktari alishindwa cha kumueleza mgonjwa na kumrefer akawa hataki anataka UBINGWA. Mwisho akishia kumpa pathophysiology zisizo na scientific basis. Huu ni ugonjwa ambao kada fulani ya afya wanao ndo maana hata referal hospitals wagonjwa wanafika hawatibiki tena. Referal is the best option if things are out of our capacity, hakuna atakayekuuliza kwa hilo! Tunatesa wagonjwa sababu ya kutafuta sifa zisizo na msaada. Sory doc niliwahi tokewa na situation kama hii ya ndugu yangu kucheleweshwa na waswahili wa medicine mpaka anafika mnh ana cacx stage iv na hospitali alienda mapema kabisa.

hauja elewa kilicho kuwa kinazungumziwa brother hatuja sema mgonjwa anaumwa nin, bado we ar try to find out,bulet nyekundu ilikuwa inasema aliambiwa na dactari kwamba wakati wanamfanyia dripng hewa ili ingia on the vein then if u had std medcn wht do u thnk the air wil cause? But hakuna aliyetoa diagnosis kwa huyo mgonjwa kwamba anasumbuliwa na nini we ar stil workng on it that is wht i hav say! Bt if u thnk u can help him then the door is open! Huyu mtu anatatizo kubwa na sio lakukurupuka tu na kuanza kujibu. We ulishawah kusikia wap damu inatengenezwa kwenye cell? Lakin mgonjwa amesema sel zake za damu haz tengenez damu! Which is not true! bt kwa sababu nimgonjwa nivizur kukaa kimya nakumsikiliza matatizo yake that is how professional tels.
 
What i thnk kilichotokea wakat ulipotoa damu kulingana na kiasi kidogo ulicho kuwa nacho ulipata "myelodysplasia syndrome" hapa nikwamba mifupa inatengeneza kiwango kikubwa cha sel za damu ambazo hazija komaa kama reticulocyte,megakaryocyte,myelocyte. Sel hizi zinapoingia kwenye mzunguko wa damu hazina kazi! then huvunjwa vunjwa kwenye "reticuloendothelium systeam" hapa ndipo mgojwa anapata "cytopenias" cell zinapungua kwenye mwili ndipo unaanza kuumwa na kichwa sana kwasababu hakuna "haemoglobin" yakutosha kufikisha oxygen kichwan na sehemu nyingine za mwili! Nivyema kupima "full blood picture" thin blood smear" ilikujua idadi na mophology of the cells pia nimuhimu kufanya "marrow triphine biopsies na bone marrow aspirate" vitasaidia kuhakikisha tatizo pia ni vyema kuwahusisha wataalamu wa damu yani haematologst pia na pathologst pamoja tunaweza kutatua tatizo lako! Nivizur kupima kuliko kumeza madawa yasio na lengo! Pole sana
 
NDUGU WANA JAMII, NISAIDIENI NIFANYEJE ILI NIPOMNE HILI TATIZO!

KIPINDI NIPO MDOGO, KABLA SIJAFIKISHA MIAKA 18, NILITOLEWA DAMU KTK HARAKATI ZA KUCHANGIA DAMU SALAMA, BILA KUJUA, NA KWA ELIMU NDOGO NILIYOPEWA NA WAHUSIKA SIKUWA NA UELEWA WOWOTE JUU YA KUTOA DAMU, VIGEZO NA MAHITAJI MENGINE.HAYA YALITOKEA NIKIWA SHULE

KIUFUPI SIKUWA NA VIGEZO VYA KUTOA DAMU KWASABABU NILIKUWA BADO MDOGO, DAMU YANGU ILIKUWA HAITOSHI. NA HATA KILO ZANGU ZILIKUWA PUNGUFU. MAPEMA BAADA YA KUTOLEWA DAMU, NILIKOSA NGUVU, NA NIKAWA NAUGUA SANA IKIWEMO KUPUNGUKIWA DAMU, NILIPIMA KTK HOSPITALI MOJA KUBWA HAPA NCHINI, KWA MSAADA WA MADKARI WA NJE. MAJIBU WALIYONIPA NI KUWA MWILI WANGU HAUWEZI KUZALISHA DAMU, SELI ZANGU ZA DAMU ZIME COLLAPSE, HAZIWEZI KUZALISHA DAMU YA KUTOSHA MWILINI.

NINA MIAKA MITANO SASA NA TATIZO HILI, NA MSAADA NINAOPATA TOKA KWA MADKTARI NI KUZISHITUA SELI ANGALAU ZIWEZE KUZALISHA KIASI KIDOGO CHA DAMU( WAO KITAALAMU WAMENAMBIA INAITWA REFRESHMENT), NA NIMESHAFANYIWA MARA MBILI, AMBAPO DAMU YANGU HUSAFISHWA NA KURUDISHWA MWILINI. NA PIA HUWA NATUMIA VIDONGE KUMEZA KWA AWAMU, AMBAVYO VINAUZWA GHARAMA SANA, WAKATI MWINGINE NAISHIA KUNYWA JUICE YA REBENA NA ROZELA KWA WINGI BILA MAFANIKIO. SIRUHUSIWI KUONGEZWA DAMU YA MTU YEYOTE AU KUTOA DAMU.

HALI HII INANISABABISHIA KUUMWA NA KICHWA SANA KUPITA KIASI, NA WAKATI MWINGINE HOMA NDOGO NDOGO HUPELEKEA MATATIZO MAKUBWA IKIWEMO B.P KUSHUKA.

NAHISI KIFO KINANIKABILI, NAOMBENI MTU YEYOTE MWENYE MSAADA WA NAMNA YA KULIMALIZA TATIZO HILI ANISHAURI, NIFANYE NINI, NITUMIE NINI(HASA KAMA KUNA VIRUTUBISHO ASILIA) KTK KUNUSURU UHAI WANGU.

NAOMBA TUWASILIANE KUPITIA kyakukumyensa@gmail.com

MUNGU AWABARIKI SANA.


Mkuu KYAKU KUMYENSA

Pole sana kwa matatizo yalokupata. Kwa upande wangu, maelezo ulotoa yanajitosheleza. Na bila kujali majibu ya Madaktari wetu, Mupirocin, Wansegamila, Meningitis, na Wanajamvi kwa Ujumla, tatizo lako linatibika tena kwa njia SALAMA, zisizokuwa na MADHARA (SIDE EFFECTS). Suala ni UAMUZI TU. Mimi ni INDEPENDENT HEALTHY CONSULTANT, sio Daktari.

Hakika, ukitumia VIRUTUBISHO vifuatavyo kwa pamoja, tatizo lako litakwisha.
SHAKE OFF PHYTO FIBER, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, na RED YEAST COFFEE.

Afya / Uhai wa mtu ni wa thamani sana kuliko kitu chochote. Ni vema wanafamilia kukaa vikao kujadiri na kuchangia gharama za matibabu ya wapendwa wetu. Isiishie tu kwenye sherehe au kusubiri mpaka mambo yanapoharibika (wapendwa wetu wanapotutoka) na kuonyesha ufahari.

1. SHAKE OFF Phyto Fiber

Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off

  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salam, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.

2. Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”.
- Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.


Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell, muscles,
tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularit of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.


Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

Kahawa za Ginseng & Red Yeast


Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu”lehemu”(Bad Cholesterol)

Faida za kahawa ya Ginseng

  1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
  2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
  3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
  4. Inaongeza nguvu mwilini.
  5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
  6. Inashusha presha ya juu.
  7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na “triglycerides”.

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng’enyo wa chakula.

Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Back
Top Bottom