Selous ndio Mbuga Kubwa zaidi Afrika

Lakini sasa nashangaa kwanini hatukamati nafasi za juu kwenye utalii...
 
Pia ni mbuga pekee yenye madini mengi, milima ya dhahabu, mito yenye almasi, na madini ya vito..., bila kusahau uranium.
 
Ina km za mraba zaidi ya 55 000 ni zaidi ya Rwanda na Burundi ukizichanganya pamoja
 
Mbuga kubwa kama sikosei ni ruaha nationa park
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…