Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Ngoja niweke kiti watakujaFrancis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee
Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.
Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee
Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.
Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari
Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe...
Kwamba mke mmoja ni tatizo ?.... anyway yote maisha tuFrancis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee
Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.
Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee
Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.
Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari
Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe...
Hao wa mitala kila mmoja akikuloga kwa limbwata au kukuendea kwa sangoma ili kukuteka lazima uzikwe mapema.Oa Matala uishi maisha marefu[emoji4]
Aaah wapi,Hao wa mitala kila mmoja akikuloga kwa limbwata au kukuendea kwa sangoma ili kukuteka lazima uzikwe mapema.
Nyakati hizi sio zile.Aaah wapi,
babu zetu wangezikwa mapema
Kuna mzee mmoja alikuwa na mke mmoja, watoto walipotawanyika mikoani mama alienda kusalimia akazamia huko, kilichofuata ni kifo kwa mzee hakuna wa kumpikiaMke mmoja hutoboi unakufa na taishingoni kirahisi sana yaan
Kuna mzee mmoja alikuwa na mke mmoja, watoto walipotawanyika mikoani mama alienda kusalimia akazamia huko, kilichofuata ni kifo kwa mzee hakuna wa kumpikiaSema chochote kwa hiki nilichotunga kichwani
Nyakati ndo hizi hizi,Nyakati hizi sio zile.
Ndio hivyo yaan Bora uwe nao hata 11Kuna mzee mmoja alikuwa na mke mmoja, watoto walipotawanyika mikoani mama alienda kusalimia akazamia huko, kilichofuata ni kifo kwa mzee hakuna wa kumpikia
Hajafikisha Karne kama mabro zake sababu ukisasa mwingiE.J.C
Kazi: Mcheza soka, Mwalimu kigurunyembe, Mkurugenzi TBL
Umri: 93
Wake: 01
Watoto: 09
Wajukuu: 32
Yuko hai mpaka muda huu.