Sema chochote kuhusu haya

Sema chochote kuhusu haya

Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

#Unknown_Author
Ukweli upo
 
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

#Unknown_Author
Yani Usiku huu mnene wa manane hupo macho jamvin JF kweli na kuposti uzi haingii akilini kabisa.

Kama taifa tunaelekea wapi? Ndo maana umeme unakatika hovyohovyo halafu mnasingizia Tanesco.

Laleni bana!
 
Yani Usiku huu mnene wa manane hupo macho jamvin JF kweli na kuposti uzi haingii akilini kabisa.

Kama taifa tunaelekea wapi? Ndo maana umeme unakatika hovyohovyo halafu mnasingizia Tanesco.

Laleni bana!
Naona hii comment uliandika ukiwa usingizini
 
Hao wote umewataja hapo chini,wale uliwataja juu ni km baba zao.
Mtu ana miaka 107 unamfananisha na mtu wa miaka 47 kweli?
Huyo anazalisha watoto 10+ bila kufunga macho kwa mwaka.
 
Francis Chacha Wambura

Kazi; Mkulima

Umri: 98

Wake: 6

Watoto: 47

Wajukuu: 86

Sababu ya kifo: uzee



Lazaro Olemgbe

Kazi: Seremala

Umri: 115

Wake: 11

Watoto: 56

Wajukuu: 132

Sababu ya kifo: Uzee.



Mabura Mabondo Matinde

Kazi: Tailor

Umri: 109

Wake: 4

Watoto: 38

Wajukuu: 73

Sababu ya kifo: Uzee



Dk Benson Ngonyani (Phd)

Kazi: Mhadhiri

Umri: 53

Mke: 1

Watoto: 2

Wajukuu: 0

Sababu ya kifo: shinikizo la damu.



Samweli Julius Mushi

Kazi: Meneja wa Benki

Umri: 47

Mke: 1

Watoto; 2

Wajukuu; 0

Sababu ya kifo; BP, Sukari



Erick Charles James

Kazi: Mwalimu

Umri: miaka 43

Mke : 1

Watoto: 3

Wajukuu: 0

Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo



Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe
 
Aliyekuwa Na Wake 11 Ametoboa Hadi 115years.

Aliyekuwa Na Wake 6 Ametoboa Hadi 98years.

Aliyekuwa Na Mke 1 Hamna Aliyetoboa 60years.

Kazi Kweli Kweli
 
Back
Top Bottom