Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
hapana mkuu ila namkubali sana na ni role model wangu hata kama sijui kuimba. nasikilizaga nyimbo zake zote aisee. hata jina langu limetokana na yeyeBINAMU.......nnadhani wewe mwenyewe ni mwana fa.
umeelewa lakini!Chochote
hapana mkuu ila namkubali sana na ni role model wangu hata kama sijui kuimba. nasikilizaga nyimbo zake zote aisee. hata jina langu limetokana na yeye
hebu sikiliza" tuliza boli" then uje yalaiti ama ngoma aliyoshirikishwa na maua. sijajua manjonjo gani unataka! ila hamis kabadilika sana na anakuwa mpya kila sikuhaya binamu,huyu jamaa amesoma ila anafanya game kama hajasoma,style yake haichangamshi na naweza kusema haweki manjonjo kwenye nyimbo zake(zimepooza)
haya binamu,huyu jamaa amesoma ila anafanya game kama hajasoma,style yake haichangamshi na naweza kusema haweki manjonjo kwenye nyimbo zake(zimepooza)
Malalamiko ya nini wakati jamaa kaambiwa aseme chochote? Kama ni ujumbe kila ana ya muziki inatakiwa owe nao..watu waliozoea midananda na michiriku na viduku utawajua tu wanataka hip hop iwe kama ndege mtini au zilipendwa,thats hip hop kinachomatter ujumbe co vionjo alafu we mgeni.