Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Diamond ameajiri kibaraka wake kabisa hapa JF kazi yake kuu ni kumpamba na kumpa sifa za marehemu.unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. mia
hataki kuoa anadai bado yupo yupo kwanza. inadiwa ana anaemia aka siko seli.
unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. mia
mkoloni wa humu sio wa wagosi wa kaya coz namfahamu. miaMkoloni yupo humu kitambo wengine ID za kuchonga kama sisi!!
ana uhusiano wowote na Football Association ya U.k FA ambao leo wameandaa mechi ya kukata shoka baina ya Timu yangu Manchester United na Vibonde Wetu Chelsea.
akazane kusoma
sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
kwa hiyo unamaanisha nami ni kibaraka ama? Hivi ukimsifia mtu anayejua basi ametumwa?. Mi namfahamu hamis ila yeya hanifahamu mimidiamond ameajiri kibaraka wake kabisa hapa jf kazi yake kuu ni kumpamba na kumpa sifa za marehemu.
wacha...hebu fafanua inaonekana unajua kitu..
HANA SURA YA KUVUTIA KAMA WEWE SI NDIO? BUT HEMEDI ( ROLE MODEL WAKO) ANAMKUBALI KICHIZIAkitabasamu anaonekana kama bushman!
sasa nitajitambulishaje wakati mimi hamis hanifahamu? Hebu tuamianiane kuwa mi ni fan wake tu basiunaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? Kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. Atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. Mia
Mapumzko sasa hv, chelsea 3 na MU 0
sasa nitajitambulishaje wakati mimi hamis hanifahamu? Hebu tuamianiane kuwa mi ni fan wake tu basi
Jamii hajui kupiga pamba kabiiiisa! Alafu ileee kiboya zaidi (legelege)