ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Sema chochote unachokitaka hata kama unaweza paka mi ndio nasema naonyesha kipaji/ kama dibaji ongea unachokitaka na piga na domo so mi ndio in chaji/ chochote nasema kwa maana mi msema chochote na nina mrusha yoyote namrusha Taji/ na mrusha Taji "liundi" kama denge mi bundi kama una muwinda bundi sio muwindaji/ sio muwindaji kwa maana huwezi ku muwinda budi , cheki na nata kama bundi ndio kipaji/ ndio kipaji Yaani kama kwenye soko vile Yaani sina jezi lakini mchezaji/ mi mchezaji nacheza kiwanja chochote na namba yoyote ndio kipaji/ si unaongea na simu wakati haina chaji hasa kwanini usiende kuichaji/ sema mama "mama" mi ndio aliyenitazama bila ya mama mi nisengekuwa na kipaji/ nisingekuwa na kipaji lakini Mungu ndio mu umbaji Ebu nivisheni Taji " nivisheni Taji / na sio Uongo kwenye Tunga naumiza Ubongo na si kupigi Dongo we mzungaji/ sio mzungaji kama sio basi mtendaji kama huwezi kuchunga uwezi kuitwa mchungaji/ kwani sio Maingizo watu wanaingiza ingiza tu wanaingiza tu mi sio Mwiingizaji/ mi sio Mwingizaji kwa maana mi naongopa nisije kuitwa mzungaji / ....
Endeleaaaaa..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
#funguka.
Ebu shusha lycris zako bora kutoka kwa wasanii wa Hip hop Enzi huku ukizingatia vina mwanzo kati na mwisho kama alivyofanya huyu msanii wa Hip hop mr prezzy katika ngoma yake ya " G" .
Ngoma hii ikifanyika katika studio za " Bongo Records" kwa P funk majani miaka ya 2000.
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202