Ndugu mleta mada kama vichwa vyetu vingekuwa vina bast kwa kuzidiwa na mambo tunayo pitia basi huko mitaani kungekuwa kunasikika vishindo vya mipasuko ya vichwa.Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
Bro kuwa single halafu mpweke hakuna raha yeyote hata ukiwa na helaDahhhhhhh hiyo ya kuwa n mahusiano hain hark hr usiwaze utafik tu wakati sahihi utampata usijichoshe kwa hilo coz kun wenzio ss hiv wanalilia kwenye Shuka
Maisha yako n majuto jutahid usije ukajutia uamuz wako ile ni kaz ngumu kuwa uchi mbele ya watu na wanakupangia faragha na nmna ya kulomba huko ni kubaya sana jaribu njia nyingineNaombeni connection ya kuwa muigizaji wa picha za ngono, niwe nawatembezea wanawake mjegeje
Ww jamaaa uko serous ......???Nimempa mama mkwe mimba.
Daah problem nyingine jau sana😄Demu wangu hana tako
Kwa nini tunaaminishwa mimea ya asili inastahilmili, ukame magonjwa, na wadudu lakini mimea hiyo hiyo inashidwa kuhimili ujio wa mimea iliyofanyiwa uhandisi wa vinasaba, na mimea hiyo inayovamia mimea yetu ya asili haina uwezo wa kustahimili ukame , amgojwa na wadudu?Elimu
Kocha mpya kaletwa kuwa na amaniMan yuu inanilaza na viatu
Uchaguzi ni mwakani lolote linaweza kutokea kiongoziShida yangu ni hii serikali ya mama, kila nikikumbuka kuwa tunaweza kuwa naye hadi 2030 huwa nafadhaika sana na hata kupoteza morali wa kazi, natamani tungepata jembe lingine kama chuma JPM kinyooshe nchi kwa miaka kama 15 hivi.
NB: Siamini katika demokrasia wala dini
Ni kweli fomula ya kutengeneza soda za coc*c*la ni ngumu kugundulika au watafiti wa fomula wanaogopa nguvu za uchumi wa mmiliki wa kinywaji hicho?kiuchumi
Shida yangu ni hii serikali ya mama, kila nikikumbuka kuwa tunaweza kuwa naye hadi 2030 huwa nafadhaika sana na hata kupoteza morali wa kazi, natamani tungepata jembe lingine kama chuma JPM kinyooshe nchi kwa miaka kama 15 hivi.
NB: Siamini katika demokrasia wala dini
Tuombe uzimaUchaguzi ni mwakani lolote linaweza kutokea kiongozi
Daganya akili yako kuwa hudaiwi, Kisha ujasiri utakuja wenyewe.Madeni wakuu! Madeni jamani!!! Madeni yamenifanya nakosa ujasiri wa kupambana!!!!! Na sijui nachomokaje hapa....na kila kitu kwangu kimesimama!!! Nishaurini nachomokaje hapa